Recent content by NGANYIKA

  1. NGANYIKA

    Kama wewe ni makini?

    Umaskini ni Ndana ya Fikra tu (Mind trap). Ishi tokana na uwezo wako usinjilinganishe na mwingine kamwe. Ukifikiria tu kwamba WEWE maskini, una tatizo la Fikra. Nani ameweka vigezo VYA umaskini? WAO. Kwa Nini fedha Yako wanaishusha thamani? Kwa Nini dhahabu, kahawa, pamba, tumbaku, chai...
  2. NGANYIKA

    UN kuhamishia makao makuu ya UNICEF, UNFPA na UN Women jijini Nairobi, Tanzania tuko wapi?

    Wala usiwaze Ndugu TIME WILL TELL. Hawa Hawa ambao waliiba ndege za E.A Community. Wana kampeni ya Jiji lao liwe na ofisi zote za UN toka zamani. Nairobi iwe Ulaya Ndogo. Wanataka kuwa kama US. Lakini UKWELI UTABAKI UKWELI, it is BLOOD country. After every three or four blood will spend.
  3. NGANYIKA

    Ukweli unaowaumiza Wakiristo wengi duniani ni kujua kuwa Uislamu ulikuwepo mwanzoni kabisa na Muislamu wa kwanza alikuwa Nabii Adam na mkewe Hawa

    Leo tarehe ya Kiislam Tanzania ni 1 Safar 1447. Leo tarehe ya Kikristo Tanzania ni 27 Julai 2025. Tarehe ipo ipo mbele Kwa Nini? UKWELI ni kwamba Ukristo ulianza toka kuumbwa kwa Ulimwengu. Tamaduni Mahalia zisikuchanganye. Mfano: Hijabu imeanza kuvaliwa Dar na Zanzibar wakati wa Mwinyi Kwa...
  4. NGANYIKA

    Watanzania tumerogwa? Unakataa Fully funded scholarship ya masters India kisa ajira ya halmashauri (ualimu)?

    Unataka MTU asome tu mpaka Master au PhD, Nani amlishe miaka yote hiyo? Je wazazi wakifa akiwa katikati ya MASOMO nani atamlisha na Hana KAZI? Kazi ni Utu. Kazi inakupa Ujira, Hata uwe na Master au PhD lakini hauna KAZI WEWE sio kitu. Hatusomi kujifurahisha, tumasoma ili tutumie hiyo elimu...
  5. NGANYIKA

    PreGE2025 Paul Makonda anaandaliwa kuwa Waziri Mkuu?

    Ameshandaliwa. Ndio maana alipokuwa ARUSHA alikuwa mpole na mtulivu akijua kinachokuja mbele yake.
  6. NGANYIKA

    Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

    Watanzania mbona hatuoni UKWELI Moja lengo hapa ni Bandari ya TANGA kumbukeni Bomba linapita hapo. Je wanataka kumiliki na Hilo Bomba?
  7. NGANYIKA

    Ufaulu mwisho iwe Division 3

    Mwenye SHIBE hamkumbuki mwenye NJAA. Mtihani ni mmoja nchini nzima lakini mazingira ya kujifunzia tofauti. Hivi unampima Mwanafunzi wa FEZA SCHOOL na mwanafunzi wa kijijini while haina Library wala Maabara kwa mtihani ule ule? Mfano halisi Serikali imeweka SPECIAL Schools na Shule za kata, je...
  8. NGANYIKA

    Watanzania ndio Binadamu wenye akili za ajabu kuwahi kutokea

    Hats yeye aliyeandika na kuchapisha gazeti anatumia 1% ya akili zake..
  9. NGANYIKA

    Kunani Bandari ya Dar es Salaam? Hakuna Meli hata moja

    Tumia MARINE TRAFFING SHIP TRACKING APP. Bandarini kuna meli sita (06) sasa, nje ya bandari kuna meli (09).
  10. NGANYIKA

    Kuna haja gani ya kusoma elimu ya juu wakati unakuwa mzigo kwa wazazi na serikali?

    Wazo lako nzuri sana. Mimi napendekeza kidato cha nne wote waende kusoma na kujifunza ufundi stadi VETA. Kabla ya kuendelea na kidato cha tano au vyuo mbalimbali.
  11. NGANYIKA

    Tetesi: DSTV kuleta king'amuzi cha antenna

    Marekani wanatumia teknolojia zote ( Cable, Antenna na Dish)
  12. NGANYIKA

    Millard Ayo: Bilionea mstaarabu

    Nani mmiliki was Palm Village
  13. NGANYIKA

    Nani kuondolewa kwenye Baraza la Mawaziri lijalo?

    Next PM Tax kwa sasa wanamjengea ushawishi wa kisiasa kupitia Bunge.
  14. NGANYIKA

    Kumvisha Rais Life Jacket inayobana kiasi hiki sio sawa

    Mbona unamkodolea Macho Rais wetu?
Back
Top Bottom