Sasso
JF-Expert Member
- Aug 9, 2023
- 826
- 3,061
Ni sababu kuna mkeka nausubiria hapa. Ikifika jumapili ntakua BahkresaAndika sababu ya umaskini wako na njia za utatuzi👇👇👇
Ni sababu kuna mkeka nausubiria hapa. Ikifika jumapili ntakua BahkresaAndika sababu ya umaskini wako na njia za utatuzi👇👇👇
Umaskini ni Ndana ya Fikra tu (Mind trap). Ishi tokana na uwezo wako usinjilinganishe na mwingine kamwe. Ukifikiria tu kwamba WEWE maskini, una tatizo la Fikra. Nani ameweka vigezo VYA umaskini? WAO. Kwa Nini fedha Yako wanaishusha thamani? Kwa Nini dhahabu, kahawa, pamba, tumbaku, chai wanaishusha thamani aua Bei? Kwa Nini? Kwa Nini wanapora mali za watu, Kwa Nini wasinunue Kwa Bei halali? FIKRA ndio msingi wa Maendeleo. Kwa Nini wanatuwekea masharti magumu kwenye MIKOPO? ILI USIENDELEE. Lazima kuwe na Producer na Consumers. UkisMuhimu kutimiza mahitaji muhimu ya Maisha (Chakula, Malazi, Afya na Elimu) na kuwa na ujuzi ili ufanye KAZI ya kupata Ujira(Fedha za matumizi), mengine ni mbwembe na majivuno tu. Elimu ya Kila MTU awe tajiri ni ujinga, hii Ina maana vidole vyote view sawa. Kusiwe na wafanayakazi wote matajiri, nani atafanya KAZI? ROBOT. Je umeumbwa kufanya kazi au kustahere tu?Andika sababu ya umaskini wako na njia za utatuzi👇👇👇
Stor ya jabaUmasikini ni fikra tu iliyowekwa na mabepari kukufanya ununue bidhaa kutoka kwao ili uthibitishe wewe siyo masikini.
Kama una afya njema, unakula, unalala, una demu, hauombi ombi, mengine ni majaaliwa