Recent content by Ng'ambo ya Yordan

  1. N

    Kashfa nzito ya Katibu Mkuu wa CHADEMA

    wakati mwingine kukaa kimya ni busara zaidi
  2. N

    Mwenye taarifa ajira NSSF

    Mwenye taarifa na nafasi ya senior supplies officer PPF waungwana humu ndani
  3. N

    Mawaziri Khamis Kagasheki na Thereza Huviza wagongana

    Ee Mungu mrehemu mtu huyu, Kagasheki shame on you, hivi huwezi hata kuwaonea hata huruma watanzania wanaoathirika na uchafu huo? Kwani dsm ina hotel mbili tu? inaonyesha nn hii, au una hisa kwenye hzo hotel, na huko ndo vinakofanyika vikao vya kuiba twiga wetu. umeonekana mtupu kwenye mwanga wa jua!
  4. N

    Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

    Yametimia, haki ya mtu haipotei!
  5. N

    Pinda na umiliki wa Sumry Express

    Ni upepo nao utapita tu, haya ni maneno ya pm mwenyewe!
  6. N

    Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

    wawe makini wasidondoshewe na vitu vizito!
  7. N

    Slaa katika 'kumepambazuka' ya ITV

    Dr. wa ukweli ni tumaini jipya kwa watanzania walio wengi!
  8. N

    DED Mbinga kusalimia CCM oyee ni sahihi?

    Tume ya Katiba ana mtindio wa ubongo!:shut-mouth:
Back
Top Bottom