Recent content by Ngamba

  1. Ngamba

    Jinsi ya Kusajili kampuni katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Asante Hio consolidated form naipata wapi??
  2. Ngamba

    Jinsi ya Kusajili kampuni katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Naomba kujua process za kujasajiri sole propieter company. Vitu gani vinavyohitajika Asante
  3. Ngamba

    Ni Vpn ipi nzuri kwa kupata free internet?

    Asante nshaidownload, naomba msaada jinsi ya kufanya setting
  4. Ngamba

    Ni Vpn ipi nzuri kwa kupata free internet?

    Naomba kujua zipi hizo hasa zinazofanya vizuri mtandao wa Airtel
  5. Ngamba

    Looking for God fearing husband who is ready to settle

    Dodoma sio mbali joo dm tuongee
  6. Ngamba

    Msaada nateketea. Mba wananisumbua baada ya kunyoa.

    Au ukiona shida twanga vitunguu swaumu na Kisha jipake kichwani Kila unapenda kulala Kwa siku 5 utasahau kabisa
  7. Ngamba

    Msaada: Radio Advert Rate kwa Dodoma

    rejea na kichwa cha habari hapo juu naomba mwenye details ya advert rate kwa radio zilizopo mkoa wa dodoma
  8. Ngamba

    Msaada Android App nzuri ya kutengeneza cover za social media

    Rejea na kichwa Cha habari hapo juu, naomba Msaada wa app nzuri ninavyoweza kudownload na kuitumia kutengeneza cover za social media post. Asanteni
  9. Ngamba

    Saterite decoda ya Bein

    Jameni naomba msaada wapi nawepa pata/ kununua saterite receiver ya Bein kwa hapa Bongo???? ntashukuru kwa msaada wowote utakaonisaidia kutatua shida yangu Asanteni
  10. Ngamba

    Naomba mfano wa Taifa lililoshusha gharama ya maisha kwa kutumia Katiba?

    Je na italeta wafanyakazi wapya???
  11. Ngamba

    Kilimo cha Choya (Rosella)

    Ila nadhani kama utatoa hapa wengi wetu tutafaidika, ila kma Kuna malipo nalo liseme tuelewe
  12. Ngamba

    Mbolea ya CAN inawekwa baada ya muda gani katika mmea?

    Hii ni CAN ama ni CAAN 🤔🤔🤔 ni ni I hii??
  13. Ngamba

    Kati ya mahindi na alizeti kilimo kipi kinalipa?

    Asante naomba kujuzwa alizeti inachukua mda Gani toka kupanda Hadi kuvuna??
  14. Ngamba

    Wafugaji Wa Sungura ni swala la Masoko

    Hebu nipe 5zako za jinsi unavyofuga?? Ndabi ya Banda ama huria
  15. Ngamba

    Ufugaji bora wa sungura kwa ajili ya kukuza kipato

    Hao sio watoto Tena🤪🤪
Back
Top Bottom