Recent content by ngaga j mussa

  1. N

    Wanaofanya kazi ya usambazaji mashine, vifaa vya umeme haswa unaotumika migodini naomba mawasiliano

    Nahitaji masiliano ya ukaribu na wauzaji na wasambazaji wa vifaa vinavyo uzwa mgodini, bila kujali mahali walipo
  2. N

    Kuelekea kusikilizwa kesi ya Sheikh Ponda; ITIKAFU kubwa ya taifa kusomwa usiku huu Morogoro

    mmheshimiwa inaonyesha kuna uhusiano mkubwa wa ujumla wa dini na pingamiz la udini hapa.. sasa hapo chini umesema uislam unatetewa na ponda na nihasara kwa waislam wote.. samahan kama nimeelewa ndivyo sivyo.. swala langu hapa ni hiv ponda anatetea nn na yupo ndan ya mahakama kwa lipi na wanao...
  3. N

    Tuyatafakari maneno mazito ya dr. Kigwangalla(mb) kwa Job Ndugai (naibu spika)

    mdau mwenye hotuba ya sugu aiweke basi au mwenye linki ya video
  4. N

    Waislam: Mahakama ya kadhi haiepukiki katika Katiba Mpya

    kuna kitu ulikua unakifikisha na nahis nimekupata kweni ni haki gani za kimsing ambazo hazpatkan mpaka itakapo wekwa mahakama hiyo?? labda sababu kuna sie tusio elewa tuelezewe vizuri kuhusu mahakama hii niimani yangu tuna haki ya kujua..
  5. N

    Usia wa Shekh Ponda kabla ya kutekwa na askari kanzu,pale MOI na kupelekwa Segerea

    unaposema unaunga mkono basi utuarifu yapi na katka misingi ipi mheshimiwa
  6. N

    Usia wa Shekh Ponda kabla ya kutekwa na askari kanzu,pale MOI na kupelekwa Segerea

    lakin unazan marumbano ya kiiman si ndo chanzo cha matatizo ukizngatia hakuna mwenye kwer ya kweri ya muumba.. kila mmoja ana amini yupo sahih kama mnakosoa basi isilete migogolo.. isifike wakat tuka lazmishana kuchagua upande humu.. kanch kenyewe kila mtu msaliti
  7. N

    Usia wa Shekh Ponda kabla ya kutekwa na askari kanzu,pale MOI na kupelekwa Segerea

    kaka bongolander huyu mtu hizo hotuba zake mim nitazisikilizia wap?? nahisi nauhtaji namim nielewe nin kipo hapo..
  8. N

    Usia wa Shekh Ponda kabla ya kutekwa na askari kanzu,pale MOI na kupelekwa Segerea

    ngoja kwanza bwana andate umeongea neno zito hapo.. kwamba wasio waislam wafanyweje.. unahisi hili lipo kwer au na wewe ume yaskia.. alafu mbona kwa wote hiz dini ni za kurithi.. nani anamamlaka ya kuhukumu imani ya mwenziwe..
  9. N

    Usia wa Shekh Ponda kabla ya kutekwa na askari kanzu,pale MOI na kupelekwa Segerea

    kujib hoja ya chamviga hapo kati.. kuna mda ambapo mtu hunyimwa haki yake ya kikatiba kwa maslah ya uma.. swala ni huyu ponda ni threat because yangeweza tokea maandamano au lolote kuepuka hilo watamtib ndio lakin chin ya uangaliz mkali wa jesh la police
  10. N

    Usia wa Shekh Ponda kabla ya kutekwa na askari kanzu,pale MOI na kupelekwa Segerea

    lakin samahanin wanajamii naweza kua wa zamani au niseye jua mengi.. lakin ningependa kufahamu kweni ponda alikua anasimamia nin na kwaufupi ni nin kipo katikat ya ponda na wa hasimu wake..
  11. N

    Wafungwa wa Kitanzania waliokamatwa na madawa ya kulevya Hong Kong wafunguka!

    sure kama hatuto weka tofaut za kisiasa pemben na kusimamia yaliyo ya msing hakuna tutako enda.. coz naamin sio wa chama fulani pekeyao si ajab wana shilikiana na wengine wavyama tofaut.. sasa hakuna tutapo fika kama hakuna hatua za makusud tutachukua
  12. N

    Huu ndio ulinzi shirikishi?

    hata mtaani kwetu kimara huku wanatuibia sana tena kimabavu... ukiripot police inabaki jujuu wanasema wanashugulikia
  13. N

    'Uchochezi' wa CHADEMA umefikia kubaya...

    kweri wachochez
  14. N

    Ubakaji JKT(mafunzoni)

    raia kuwe na matumizi ya akili za kutosha kabla ya kuropoka. wengiwe ni watu wa karibu wame tutoka.. sasa kuanzia kwenye who is said kua mkubwa na what are qualities za ukubwa na zip ni haki za mkubwa.. kama ni kuamua then walioenda walienda because walitaka au shuruti?? sasa kama amtoto wa...
Back
Top Bottom