lazima ufe mapema kuoa huwezi kukwepa kumega mkate wa uzima,kumbuka wake 2 tu lazima utoke jasho la pua kama unawahudumia kikweli kweli utaishiwa na protini kabisa kwa hao 91,jaribu uone baba Ngina ndo utajua nyau siyo mboga.
Asungilwemwaifunga unasema"Tatizo je CCM wataweza kumasafisha tope walilompaka?
Ni mpaka pale wale waliokuwa kwenye mtandao watueleze ukweli na uongo juu ya matope yale waliompaka amasivyo bado hata yeye mwenyewe sidhani kama atakuwa willing kugombea nafasi hiyo".
kama kakubali kurudi kamati...
uongo kweli mbaya ndo maana mtu akijiangusha eneo la penati anapewa kadi ya njano uongo kwa mkeo ni zaidi ya kujianguasha eneo la penati ni kujiangusha ndani ya gori kabisa.
Ni kweli wewe na mimi hatutaki kusikia ccm vipi wengine ambao bado wanasema hawachagui chama ila itategemea mgombea gani wanaye mtaka akiwa ccm au TLP,CUFnk unawasaidiaje?
mkuu conclusion yako na kwenye hizo bold unanichanganya[/B] sababu umeeleza uwezekano wa yeye kuwa rais kutokana na mambo uliyotaja,halafu conclusion unasema huoni atapata wapi nafasi ya kuwa rais wa Tanganyika,si nalo mpaka katiba ijayo kama itaitambua Tanganyika yetu.vinginevyo wewe mwenyewe...
ni kweli huyu jamaa na mbinu zake chafu ni wa kuangalia sana mimi naomba wamchakachue ccm wenziye huko waje na kapengele kuwa yeyote aliyewahi kuhusishwa na kashifa yeyote asigombee urais.
Najua kuna imani mbalimbali,au malezi mazuri katika familia huwa hawaruhusu kufanya tendo la ndoa.je mwana ume atajuaje kama fimbo ya Haruni inachipuka? njia pekee ni kama ulivyoambiwa na mdau kuwa asubuhi mara kwa mara mwanaume aamukapo asubuhi huwa mnara umesimama, ni kutokana neuroreflexes...
penye bold kina Mwigulu anayeporomosha matusi,Nchimbi ambaye anaangalia raia wanauawa na polisi kila siku,mangula mzee wa takrima ndo wenye busara? kweli safari ya ukombozi bado ni ndefu sana
usimuache watoto hutoka kwa Mungu "...........mwili kurudi mavumbini maana watokana na mavumbi na roho kurudia ilikotoka"nafsi na roho hutoka kwa Mungu.
fanya maombi mazito pamoja na kuomba rehema sara alipata mtoto akiwa na miaka mia,KUNA JAMBO GANI LILILOGUMU KUMSHINDA BWANA?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.