Moja kwa moja niende kwenye mada wadau nahitaji mwenye moja ya hizo gari hapo juu ani pm sitaki dalali narudia dalali usije anga zangu unaeuza uwe mwenye gari ukija dalali nakutoa nduki maana nyie ndo mnakwamisha wengine tusimiliki ndinga,vigezo isiwe na madeni na uwe tayari tuende na kadi tra...
Umefika barabara ya nanyamba chitohori nanguruwe hadi newala na masasi nakapanya mtambaswala kuelekea mpaka wa tanzania na Mozambique? Njoo uone barabara zenye mvuto sio huo uchafu unouongelea kila siku ajali iyo road unayoizungumzia! Barabara ziko huku kwetu wee vp umezunguka tz yote ukaona bhana!
Maji ya kunywa tu huko dar ni ya mgawo ndo mupate maji ya kujaza bwawa! Mmeharibu mamilioni ya miti huko rufiji kisa Hilo bwawa lenu halafu mnamuomba mungu mvua sasa Hilo bwawa mtalijaza na mikojo yenu, nyie hamjui misitu huleta mvua ?mmeharibu mazingira kwa kukatakata miti kisa kujenga bwawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.