Kama uliangalia press conference yake ya juzi huwezi kuropoka hayo maneno ya ilibidi nabaki nashati yani alikuwa sijui anajibu nini maswali anakimbia ni bora hata ile ya magu...I never though he is underrated that much ila jamii hiyo kazi he was nt ment to lead
Actually nenda new york times ndo walitoa hiyo taarifa ilikuwa wanataka iwe hvyo akiwa ameapishwa mabalozi wote wasepe sasa sijajua toka aapishwe wametelekeza hvyo
hilo jina na uelewa wako vinaendana what a shame...yani ukitaka kujua hizi kampuni za simu zilikuwa embarassed snowden alipotoa taarifa ma ukae. Ujue taarifa wanatoa vizuri tena usikae ukajidanganya
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.