Recent content by Newfame

  1. Newfame

    Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    Tatizo WhatsApp haurespond kwa wakati mkuu, unatuangusha.
  2. Newfame

    Battle: Magufulians vs Anti-Magufuli

    Teh teh..mlomwita mshamba anawatesa sana japokuwa kalala usingizi wa milele.
  3. Newfame

    GE2020 Kauli Mbiu ya CHADEMA: Uhuru, Haki na Maendeleo ya watu

    Teh teh...yaani wakiitwa wenye akili we nawe utapita, kweli vyeti feki lilikuwa tatizo, hasira zenu za kufutwa kazi kwa vyeti feki zisifikie hatua ya kushabikia nchi kuuzwa, haturudi huko kwenye kuifanya nchi dampo, tuko kwenye kuifanya nchi ikompiti kuuza bidhaa zake nje.
  4. Newfame

    GE2020 Kauli Mbiu ya CHADEMA: Uhuru, Haki na Maendeleo ya watu

    Umeona mkuu, hawa jamaa chenga kweli, eti wanajivunia kuifanya nchi dampo la bidhaa kutoka nje, Magufuli anahamasisha viwanda wao wanakuja na mbadala wa kufuta kodi 15 kwa wafanyabiashara na kufanya bidhaa kutoka nje zimwagike nchini, hawajui moja ya sababu ya colonialism hata watoto wa...
  5. Newfame

    Polisi: Idris Sultan anashikiliwa kwa kujaribu kuharibu ushahidi na makosa mengine ya kimtandao

    [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] jamaa vilaza kweli hawa. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Newfame

    Polisi: Idris Sultan anashikiliwa kwa kujaribu kuharibu ushahidi na makosa mengine ya kimtandao

    Duh..kweli wewe bwabwa, mkuu kakuambia hatumii hiyo bidhaa bado unamtaka tu, hatari na nusu. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Newfame

    Hivi ndivyo Katiba ya CHADEMA inavyosema kuhusu Wabunge wake kuchangia chama

    Ongeza volume kada, kweli hawa jamaa viazi. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Newfame

    Wadada ninaowakubali humu JF Sky Eclat, Demiss, Manengelo, Victorie, Mzigua, Cariha

    We cheka tu, lakini leo nimenotice kitu kwako, leo haukua Demiss [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], wahuni hawakawii kuchomoa betri bora tuwe tunacheka tu afu tunakaa pemben Felister
  9. Newfame

    Kiongozi wa ‘kina flani’ yamkuta ya kumkuta!

    Umma upi unaomaanisha wewe? 90% ya umma wa watanzania hawatumii Jf na twitter ukumbuke.
  10. Newfame

    Wakili Jebra Kambole adai Erick Kabendera hajawahi kuhojiwa kuhusu utakatishaji fedha na kukwepa Kodi

    Hawa jamaa bhana ni kituko, itafikia hatua mtu fulani akitenda kosa asishtakiwe eti kwa sababu tu ni fulani, waache watu wafanye kazi zao, kama ushahidi wa makosa hayo upo kwa nini asishtakwe?
  11. Newfame

    Wakili Jebra Kambole adai Erick Kabendera hajawahi kuhojiwa kuhusu utakatishaji fedha na kukwepa Kodi

    Hata mimi, huwezi mtukana mkuu wa nchi tena nje ya mipaka ya nchi afu watu wakuchekeechekee tu, kwa mujibu wa katiba, Rais kama mkuu wa nchi ndiye nembo au alama ya Taifa nje ya mipaka ya Tanzania hivyo kumtukana Rais nje ya mipaka ni kulituka Taifa, wamemstahi sana aisee.
  12. Newfame

    Wakili Jebra Kambole adai Erick Kabendera hajawahi kuhojiwa kuhusu utakatishaji fedha na kukwepa Kodi

    Hivi tatizo liko wapi? kama DCI kakusanya ushahidi wa kutosha na kaupeleka kwa DPP ambaye naye kajiridhisha kwamba mtuhumiwa amefanya makosa hayo na hivyo kumpeleka mahakamani kujibu tuhuma hizo tatizo liko wapi? kwa nini tusingojee kuona ushahidi ukiwekwa mezani na mahakama aimue?
Back
Top Bottom