Recent content by Newera

  1. Newera

    JamiiForums Tanzania Ndoa inayumbisha uchumi wa vijana

    Nilipooa ndipo nikagundua kipato changu hakitoshi. Kuoa kunahitaji kujipanga sana, baada ya kuoa maisha yangu kiuchumi yalibadilika sana. Kuna mambo yalikuwa yanaenda poa kwa sababu nipo single, nikaoa mambo yakabadilika. Kodi ya nyumba kutoka double hadi kwenye apartment, mdada wa kazi...
  2. Newera

    JamiiForums Tanzania Course hizi za mathematics huwezi kuzisahau

    Tuwaulize mkuu baada ya chuo.maisha ya mt tumeweka pembeni
  3. Newera

    JamiiForums Tanzania Course hizi za mathematics huwezi kuzisahau

    Hahaaa aya mkuu ila kuna mrasia mmoja anaitwa dk oliga duh nishida
  4. Newera

    JamiiForums Tanzania Course hizi za mathematics huwezi kuzisahau

    Hahaaaa we jamaa buana et ujanja ujanja wakat mm nina familia na nategemea hizo mt na vitabu tunaandaa kama kawa na machalii wanaelewa
  5. Newera

    JamiiForums Tanzania Course hizi za mathematics huwezi kuzisahau

    Ulipambana mkuu ABSTRACT siwezi isahau
  6. Newera

    JamiiForums Tanzania Course hizi za mathematics huwezi kuzisahau

    Ni mwendo wa kukesha
  7. Newera

    JamiiForums Tanzania Course hizi za mathematics huwezi kuzisahau

    Zipo first year, second na third year mkuu
  8. Newera

    JamiiForums Tanzania Nimefurahi kupata mpenzi ambaye ni wanyumbani

    Hongera
  9. Newera

    JamiiForums Tanzania Course hizi za mathematics huwezi kuzisahau

    Atari algebra and its application ilikaribisha chuo ila ABSTRACT algebra siwezi msahau huyu mdudud
  10. Newera

    JamiiForums Tanzania Course hizi za mathematics huwezi kuzisahau

    Duh braza sio uchafu hata usome kozi gani utaniambia hata algebra and its application hujasoma pia kuna wana walikuwa na one na wamesoma mt chuo
  11. Newera

    JamiiForums Tanzania Course hizi za mathematics huwezi kuzisahau

    Kwa mliosoma mathematics chuo kikuu marufu kama MT huwezi zisahau course hizi mm naanza NUMBER THEORY ABSTRACT ALGEBRA TOPOLOGY FUNCTIONAL ANALYSIS REAL ANALYSIS taja zako zilizokutesa
  12. Newera

    JamiiForums Tanzania Wajasilia mali

    Shukran kwa uzoefu
  13. Newera

    JamiiForums Tanzania Wajasilia mali

    Naoembeni mwenye uzoefu wa vinywaji vya jumlana rejareja kama soda na maji naomba kujuzwa faida, changamoto zake na soko lake
  14. Newera

    JamiiForums Tanzania Nunua vitu kwa faida na si kwa mtaji

    Chanzo chako cha pesa ndiyo mtaji wako Ili mzunguko uwe vizur usitumie pesa ya mtaji mfano mshahara tumia mshahara kuanzisha biashara ili faida inunue vitu vingne tujiepushe na liabilities kwa sababu zinatumia pesa ndogo iliyopo mfukoni yatakiwa tujikite katika assets ambazo zinaingiza zaidi...
  15. Newera

    JamiiForums Tanzania Watumishi tunarudishwa nyuma na wasimamizi katika miradi yetu

    Kweli ndugu hawa ni watu wenye uelewa mfano hasara ya kwanza nimepata kwa MTU ambae ana ueledi ni Afisa kilimo na ni Jamaa Wa karbu hasara ya pili ni mshikaji wangu tulisoma wote baada ya kumaliza chuo yeye ajira ilisumbua mm nikapata kazi miaka 3 iliyopita yeye hadi Leo hana ajira nikakubaliana...
Back
Top Bottom