Habari mkuu Chief-Mkwawa ,
Nina vivo Y71 Mpya kabisa, nikiwasha data inakataa ku-function kwenye google play store, Gmail, hivyo siwezi ku-access ku-download app yoyote kwenye play store, Wala ku-update,
Nikitaka ku-access kuingia play store au gmail,, napata notification inaniambia...