Nyumba Ina master bedrooms 2 cinema room kitchen dining , lounge na Stor kwa ground na floor ya juu Ina 3 master bedrooms office na stares kadhaa naomba wenyekua na expérience na ujenzi wanisaidie ili niingie mzigoni bila kua na wasiwasi … ni Makadirio ya boma tu bila finishing maana sijapata...
Yeah nikweli kabisa yani jina nilokua nalitaja kwenye maombi toka nyumbani magetoni nk.. leo hii nianze kutaja jina jingine kisa mwanamke dah ningumu sana .
Mda wote huo nilidhan atabadili yeye mahna kwa namna tulivyoanza mausiano yeye ndo alianza ishara za kuniitaji kwaiyo nilidhani upendo wake ni halisi ata tabia zake pia niliona hazina mashaka ndiomana nikamzingatia i was wrong
Lengo la kuja humu sio kulialia bali nilitaka kujua labda kuna option nyingne tofauti na ya kuachana mimi na mwenzangu na kupitia maoni ya wadau humu jibu sahii ni kuachana na ilo zoezi nimelifanya jana tayari kwaiyo nawashukuru wote kaka zangu na dada zangu kwa mchango wenu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.