Mi nahitaji master chumba na sebure, maeneo ya shekilango, chumba kiwe kikubwa, sehemu yenye usalama wa kutosha. Bajeti ysngu ni 100,000/=. Ya udalali mwezi m1 baada ya mimi kuridhika na sehemu yenyewe. Malipo miezi mitatu mitatu hadi sita. Kama vipo ni PM.
Chumba na sebule vinahitajika. Maeneo iwe Kimara, Ubungo ama sehemu ya karibu na barabara yapitayo magari ya mwendokasi ili iwe rahisi kufika Stesheni. Iwe na umeme na maji. Gharama isizidi 100,000/=. Ulipaji miezi mitatu mitatu hadi sita. Kuwe na umeme na maji.
Unaangalia channel gani? Nimeanza kufuatilia tangu saa 12 jioni hakuna hicho unachokisema. Ninachoona ni maandalizi tu ya mapokezi. Si KBC, K4 wala CITIZEN TV wanapoonesha. Hebu kuwa makini na uchokisema. Sio vema kupotosha umma.
Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni. Huyu Mzee kaifanyia nchi mambo mengi tu mazuri ambayo Watanzania wengi wanafahamu ukilinganisha na viongozi wengine waliowahi kupitia Wizara alizopitia yeye. Hivyo nafikiri unapotaka kuyasema mapungufu yake, kumbuka pia kuyasema mengi mazuri yake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.