Recent content by Neus

  1. N

    JamiiForums Tanzania Wasiochimba Makaa ya Mawe kufutiwa leseni

    hiyo nzuri. Watu wasikae na fursa.lakini je soko lipo wapi la hayo makaa?
  2. N

    JamiiForums Tanzania Hafla ya Utiaji Saini wa Mikataba ya Uchimbaji wa Makaa ya Mawe Yaliyopo Ludewa Njombe Kati ya Wawekezaji wa Ndani na Shirika la Taifa la Maendeleo

    Hii habari ya makaa ya mawe mchuchuma imenisisimua sana hasa pale uchimbaji ukifanyika kweli na watu wa ludewa kupata fursa mbalimbali za kiuchumi. Kongole kwa serikali yetu.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Day Care na shule za chekechea Arusha zimeshamiri kulikoni?

    Siku hizi wadada wa kazi ni changamoto sana.zamani ilikuwa rahisi kuwapata kwani walikuwa hawaendi wengi sekondari kama sasa hivi.Lakini kwa sasa unakuta darasa zima wanachaguliwa kwenda sekondari mpaka vijijini huko na wanaobaki kidogo hawana wito na hizo kazi.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Mwaka wa sita mwanangu haongei. Roho inaniuma sana. Why me?

    Pole mama Clara,haupo peke yako. Mimi wangu jana tar 29 march ametimiza miaka mitano na ana tatizo kama lako.Anahudhuria clinic muhimbili na kuna wengi wenye matatizo kama hayo nawajua.Kitu kibaya kumwacha nyumbani au kumfungia.Shule mpeleke hivyohivyo na uombe walimu wafanye councelling kwa...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Unatumiaje kipato chako, kuboresha mazingira ya kijiji ulipotoka?

    Jana kumetokea taarifa za Tanzia toka Songea -Mfaranyaki,Daktari mmoja bingwa wa neva toka Muhimbili alipeleka msiba wa mdogo wake.Walipokuwa wakiaga naye akadondoka ghafla na kufariki wakati alikuwa mzima hana shida yoyote.Mambo kama haya yanaogopesha kwa baadhi ya maeneo.
  6. N

    JamiiForums Tanzania Walimu sasa kusaini kwa alama za vidole kwa ajili ya kuhakiki mahudhurio

    Hizo mashine ni very delicate, zinatumia umeme na ni gharama kubwa.Ukiweka mchakato mzima mpaka zipatikane na 10% zake kwa wahusika gharama yake itakuwa ni sawa na kuajiri walau walimu 1,000 au hata zaidi waende wakafundishe mashuleni.Mimi nipo taasisi binafsi tuliweka hizo mashine zilidumu...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Hongera Dkt. Charles Msonde, mbinu ulizotumia katika mitihani hii ya darasa la 7 ni zaidi ya TISS

    Ni kweli.mimi nakiri kuwa ni jambo baya Sana kuiba Mitihani.Wizi unatokea Kuna sababu nyingi: 1.Siasa na sifa za kiuongozi ktk halmashauri.Halmashauri inaweza ikaingia ktk mtego ili kupata sifa labda Kama huko nyuma walipata matokeo yasiyoridhisha au kutaka waendelee kubaki juu.Kuna pressure...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Hongera Dkt. Charles Msonde, mbinu ulizotumia katika mitihani hii ya darasa la 7 ni zaidi ya TISS

    Jamani mtoa hoja anazungumzia mambo ya zamani siyo Sasa hivi.Huko nyuma booklet za kujibia zilikuwa zinaandaliwa kabla zipo shuleni zikitumika hata zikibaki zinahifadhiwa kujibia mwakani.Udanganyifu ulipozidi taratibu zikabadilika.Kwanza mwaka ukaandikwa.huwezi tumia ya mwaka mwingine pia...
  9. N

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro umeonesha Unafiki mkubwa sana na Kuidharau Mamlaka kupitia Waziri wa Afya Dkt. Gwajima

    Mimi siwapendi ccm wala serikali yao lakini ukimsikiliza Gwajima anamkosea heshima Rais na serikali yake na namshangaa igp anaposema haoni kosa. Kwanza Gwajima kasema kuingizwa kwa chanjo nchini Kuna rushwa ndani yake.Ina maana anamtuhumu Rais kuhongwa. Anatakiwa athibitishe madai yake. Pili...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Zifahamu nchi 10 bora kwa usafi barani Afrika

    Tatizo la Tanzania ni viongozi wa kisiasa.Hasa kipindi cha mwendazake ndo hali imekuwa mbaya zaidi kwani aliruhusu machinga kuweka biashara mahali popote wanapojisikia na hao ndo ajents wakubwa wa kuzalisha taka na kuzitupa mahali popote bila mamlaka kuwachukulia hatua.Miji inaonekana michafu...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Wife kakuta 5,000 mfukoni wakati anafua, mara ya mwisho hali hii ilitokea 2015

    Tusishangilie sana soon maisha yataanza kubadilika.Kwa hii bei ya mafuta iliyoongezeka kila kitu kitapanda bei, bado makato ya kwenye miamala ya simu hajaanza nasikia tarehe 15/7 ndo yanaanza, bado kodi za nyumba kwenye luku mbona maji tutaita " maa"
  12. N

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa miti naomba ufafanuzi wa jambo hilo

    Leo katika harakati zangu za kusafisha bustani yangu ya maua nimekutana na kioja ambacho sijapata kukiona maishani.Umri wangu ni takribani nusu karne na nimebakiwa na kulia Kijijini. Nilichokiona ni mmea tofauti kuota juu ya tawi la mti wa maua Kama vile umefanyiwa budding au grafting.Hii...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Malalamiko kwa Shule Binafsi: Wizara ya Elimu na Tamisemi waliangalie na kulitolea muongozo

    Nakuunga mkono kwa asilimia 100.Mfumo wetu wa Elimu unaangalia mtu aliyefaulu mtihani na si vinginevyo.Tena ufaulu wa A kwa wanafunzi wote.Hata mzazi anapotaka kupeleka mtoto shule haangalii shule inayotoa likizo yote kwa watoto bali inayofaulisha watoto wengi kwenye mitihani.
  14. N

    JamiiForums Tanzania Malalamiko kwa Shule Binafsi: Wizara ya Elimu na Tamisemi waliangalie na kulitolea muongozo

    Nakuunga mkono kwa asilimia 100.Mfumo wetu wa Elimu unaangalia mtu aliyefaulu mtihani na si vinginevyo.Tena ufaulu wa A kwa wanafunzi wote.Hata mzazi anapotaka kupeleka mtoto shule haangalii shule inayotoa likizo yote kwa watoto bali inayofaulisha watoto wengi kwenye mitihani.
  15. N

    JamiiForums Tanzania Alinishauri mwenyewe ila sasa ananitangaza vibaya kwa watu

    Fanya kazi yako kisomi zaidi.Fuata sheria na uwe tofauti na boda wote.Jitahidi wekeza upate boda yako mwenyewe halafu itumie hiyo kuandikia proposal upate mkopo benki ili upate boda nyingine.Ajiri kijana kadiri siku zinavyoenda fungua kampuni ya boda boda ajiri vijana wengi zaidi.Hakikisha...
Back
Top Bottom