Wataalamu wa miti naomba ufafanuzi wa jambo hilo

Neus

Member
Jun 24, 2020
38
60
Leo katika harakati zangu za kusafisha bustani yangu ya maua nimekutana na kioja ambacho sijapata kukiona maishani.Umri wangu ni takribani nusu karne na nimebakiwa na kulia Kijijini.

Nilichokiona ni mmea tofauti kuota juu ya tawi la mti wa maua Kama vile umefanyiwa budding au grafting.Hii hutokea kwa miti yenye magome lkn kwa case hii lile tawi la mti wa maua likiwa smooth na bado teke lakini mmea tofauti umemea juu yake.

Wataalamu hii imeekaaje? Na kwa wake wataalamu wa miti shamba hii siyo dawa kweli huenda nimeletewa dawa ya kinga ya covid-19 au ukwimi nyumbani Bila mwenyewe kujua.

IMG_20210628_090258.jpg
 
Back
Top Bottom