Recent content by neuropathy

  1. neuropathy

    JamiiForums Tanzania Nauza material ya A level chemistry na biology bei chee

    Ramsden unauzaje?
  2. neuropathy

    JamiiForums Tanzania Khaligraph X ROSTAM kolabo kali zaidi ya Hiphop Kenya na Tanzania

    Umesikiliza ule wimbo alioshirikishwa na Nikki mbishi?
  3. neuropathy

    JamiiForums Tanzania Khaligraph X ROSTAM kolabo kali zaidi ya Hiphop Kenya na Tanzania

    Nikki mbishi kampoteza sana jamaa
  4. neuropathy

    JamiiForums Tanzania TCU mulikeni kero hizi Kampala international university (KIU)

    Hakuna kitu pale hasa MD weupe kichwani.
  5. neuropathy

    JamiiForums Tanzania NACTE yavifungia udahili vyuo 163

    Haijapona
  6. neuropathy

    JamiiForums Tanzania Uliza chochote kuhusu matatizo ya hardware kwenye laptop na desktop

    Hivi unapotaka kununua betri ya laptop unaangalia vitu gani ili ufahamu kama ni orijino au feki?
  7. neuropathy

    JamiiForums Tanzania Uliza chochote kuhusu chuo cha afya COTC Mtwara

    Clinical medicine upgrading IPO hapo na vigezo vipoje? Ada yake tsh ngapi?
  8. neuropathy

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Kuna wimbo unaimba "am tz man" ni hiphop sijui ni wa nani nimeutafuta holaaa msanii sijui nan na nan wamechana ndani ya ule wimbo
  9. neuropathy

    JamiiForums Tanzania Nayakumbuka Mateso ya Lyamungo Sekondari

    Hahaha kweli Kwiro kulikuwa na fujo sana ila nahisi lyamungo ni zaid
  10. neuropathy

    JamiiForums Tanzania Nayakumbuka Mateso ya Lyamungo Sekondari

    Ongeza na Kwiro boys
  11. neuropathy

    JamiiForums Tanzania Tuliosoma mchikichini tution tukutane hapa tukumbushie vituko tulivyokutana navyo

    Sir unga huyu jamaa naye alikuwa na majigambo sana pamoja na mudy,mbuga alikuwa mkimya mnoo.
  12. neuropathy

    JamiiForums Tanzania TCU mulikeni kero hizi Kampala international university (KIU)

    Hakuna chuo pale m.d weupe kichwan
  13. neuropathy

    JamiiForums Tanzania Kwa wale waliosoma Seminari za Katoliki

    Hahaha Bob nimepita pale kaka,Mzee wa makofi ya uso.
Back
Top Bottom