ISLETS
JF-Expert Member
- Dec 29, 2012
- 8,121
- 5,332
huu mwandiko sio kwa mtu aliyefika ngazi ya chuo kikuuHichi chuo ukiona huwezi kiache tuu ,ka ss tuliokiacha wanafuata mitaala ya UG .cheki prospectus yao kisha tizama grade sysytem zao ni tofauti na vyuo vingine tz may be wawe wamebadili
.au ingia google andika mgomo wa kampala university uone ss tuligomea nn.
Its so pain when i here this university.
Ukiweza kasome hukataliwi. Ila.....