Hahaha kiongozi hujawai nyoshwa Aliexpress ndo maana . Nina mzigo nili nunua kwa huyu seller YANJIAO YANJIAO Store ni mwaka sasa sijapokea mzigo tracking inaonesha ilikwamia Malaysia na nika chelewa kureport hvyo imekula kwangu
Aliexpress usiwe na wenge wakununua kwa kila muzaji ukimpata...
P
Pole Mkuu ila still uber na taxify ni biashara nzuri sana.. ina tegemea ulikuwa una fanya vipi hiyo biashara... Kwa nijuavyo mm hizi kampuni huwa zina onesha wateja wao wapi palipo na wateja wengi hot areas na wapi sio. Hii ina saidia madereva ...pia unaitajika uwejanja mfano dar Wapi kuna...
Wala sikuwa na nia mbaya kwenye hili andiko langu ( hii ina onesha ni jinsi gani TZ saiv mtu ukindika kitu mtu ana waza kwanza machafu ndio awaze mazuri) mi nime ichukulia kama ni Marketing manager wa Uber ame anzsha uzi kwa style ambayo itawavutia watu wengi kusoma ila lengo ni kuonesha...
We ni noma nime penda ulivyo umiza akili kujitangaza bila mtu kujua unajitangaza
mana umetaja key point Muhimu za Huduma yenu na mwisho uka tutamanisha zaidi kwa kusema 40,000 per day
Ni azimia la Serekli ya awamu ya tano kuahakikisha Mtanzania kwanza ndio wengine wafuate..... na mm naisaupport asilimia 100 wali sio chuki na majirani wala nn.... Nymbani kwanza...ninapo fanya kazi mm kuna Mdada wa kigeni kutoka Afrika mashariki siataji jina la nchi.. huyu dada hana hata...
Hahahha nyie mnao sema nime ipa promo Kampuni ngoja na nyie ni wa eleimishe kitu itawasaidia siku mkiwa na kampuni zenu au kama mna zo itawasaidia kitu.... ili kukuza Bishara yaki ni lazima use all means of channel kuhakikisha una enda viral au u'r known to the public..... ukipata jukwa la...
Ngoja nikuelimishe kitu... Jumia ni website tu ila bidhaa zote unazo ona huko ndani sio za Jumia ni za wauzaji walio ingia mkataba na jumia kuuza kupitia platform yao... Muzaji ana weza upload bidhaa mwenyewe na ana handle duka lake mwenyewe ila jumia wana saidia kuveridy oder kwa kukupigia kama...
Bora vyombo vya habari kazi yao ni kutafuta habari ,, Airtel wametembela nyota kabisa afu wana taka wana nchi nasisi tutumie mtandao wao.... si bora soka bet wali muhusisha Dr kabisa tunajua kapata chochote.. ila airtel mkitaka kupata kiki kubwa muiteni mze mpeni msada nchi nzima ita ongea airtel
Sawa Kiongozi ngoja niondoe hii picha na kubakiza maneno ila namba nina uwakika nazoa hata @britanicca ana weza kuprove huko aliko kuwa namba hizo zilikuwa ziki muhusu Dr
(Picha nimefuta kwa kutiliwa shaka naweza kuwa nime changanya kampuni ....mbili zenye jinya sawa lancefort ltd hii nlio futa ikiwa na kesi nchini Ireland na ya Dr ikiwa Urusi.)
ila namba za simu sija kosea nina namba za kampuni yake enzi hizo
Na hizi ni namba zake za simu enzi hizo 70951399186...
Kwanza kabisa kisafiche kabla ya kutumia na flush hata kama kianaonekana kisafi.
Ukiangalia hicho choo utagundua kuna mifuniko miwili mmoja hufunika kabisa na kingine kina uwazi katikati, kwa mwanaume unapandisha au una vi inua vifuniko vyote ndio unaka,Kwa mwanamke ana kalia hicho kimfuniko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.