Recent content by netti mimi

  1. netti mimi

    Afanye nini kupata cheti kipya ni cha chuo?

    Habari Wana JF, Nina rafiki yangu amemaliza chuo kikuu mwaka juzi sasa mwezi uliopita kwa bahati mbaya mvua ikinyesha akiwa yupo miangaikoni begi analowekea nguo na vitu vya muhimu akakuta limeloa ivyo ikapelekea cheti chake cha chuo kuloa na kuharibika na vilevile kusababisha bahadhi ya masomo...
  2. netti mimi

    Msaada wa biashara nzuri

    Nipo kimara
  3. netti mimi

    Msaada wa biashara nzuri

    Hellow habari za uzima wana jf, Naombeni ushauri nifanye biashara gani ..Stori ni hivi mimi ni mama mama wa miaka28 ninawatoto wawili mmoja 3 na mwingine 2 nilikuwa naishi na uyu mwanaume ila atujafunga ndoa Na mume wangu anafanya kazi za ujenzi zamani tulikiwa vizuri tu anahudumia familia...
  4. netti mimi

    Habari za uzima wana JF, natafuta kazi

    Ombi langu la siku zote ni lile lile wana JF naomba mwenye nafasi yakazi jamani naombeni mnisaidie au kama unajua kampuni inayotangaza kazi nipo tayari nielekezeni mimi ni mwalim nafundisha kiswahil na history. Vilevile naweza kufanya kazi ya markerting ninauzoefu nayo na nimeshafanya kwa mda...
  5. netti mimi

    Najutia kumruhusu kutoa mimba zangu mbili

    Hongera kuitwa baba ajae nikushaur kitu usimpe tena stress uyo mke mimba za sikuizi cjui zinamachale zikipata atress kidogo izo zimesepa subir ajifungue ndo mpige matukio saiv alee kiumbe kwa raha
  6. netti mimi

    Uzi maalumu kwa walionza maisha na wanawake zao mpaka kutoboa kimaisha

    Mkuu una wife unataka kupima kwamba mtatoboa au lah we mpe principle mfungulie biashara ..omba sana Mungu utatoboa tu
  7. netti mimi

    Natafuta Bajaji ya mkataba

    Sawa lakn Ata illyo milion mm Sina sasa nakopaj
  8. netti mimi

    Natafuta Bajaji ya mkataba

    Napatikn kimara mwisho matosa naninauzoefu wa hii kazi
  9. netti mimi

    Natafuta Bajaji ya mkataba

    Elekeza wanakokopesha
  10. netti mimi

    Natafuta Bajaji ya mkataba

    . Kunamtu ameomb nitume tangazo anaomba Bhaji ya mkataba
  11. netti mimi

    Kuweni makini na wake zenu

    Ningekuwa mkeo tungeachan na kesi juu jinsi uniheshim mpk pich unatuma kha
  12. netti mimi

    Natafuta kazi

    Naenda Kama upo tayari
  13. netti mimi

    Natafuta kazi

    Nafanya kazi mazingira yoteyote mjini mpk kijijini sichagui
  14. netti mimi

    Natafuta kazi

    Ninauzoefu katika kufundisha pia kweny suala la computer naweza kutumia kwa asilimia kubwa vilevile naweza Mambo ya sales and marketing...Asante
Back
Top Bottom