netti mimi
Senior Member
- Oct 10, 2016
- 147
- 109
.
Kunamtu ameomb nitume tangazo anaomba Bhaji ya mkataba
Kunamtu ameomb nitume tangazo anaomba Bhaji ya mkataba
Elekeza wanakokopeshaKakope kwa kutanguliza milioni moja.
Usikubali kutumikishwa na Mwafrika mwenzako
Ingia facebook andika bajaji za mkopo.Elekeza wanakokopesha
Mimi ni kijana, nahitaji bajaji mpya ya mkataba. Ni kijana mwaminifu na nitafanya kazi Kwa uaminifu.
Mwenye nayo naomba anicheki kwa namba 0624959398 ili tuandikishane, ajue ninapokaa na tupeane mkataba pamoja na wadhamini wangu.
Asante.
Napatikn kimara mwisho matosa naninauzoefu wa hii kaziWeka vizuri tangazo
Unapatikana wapi?
Sawa lakn Ata illyo milion mm Sina sasa nakopajIngia facebook andika bajaji za mkopo.
Kuna kqmpuni moja nzuri sana. Wako kama shirika .
Hii kwani benki hawawezi kukupatiaMimi ni kijana, nahitaji bajaji mpya ya mkataba. Ni kijana mwaminifu na nitafanya kazi Kwa uaminifu.
Mwenye nayo naomba anicheki kwa namba 0624959398 ili tuandikishane, ajue ninapokaa na tupeane mkataba pamoja na wadhamini wangu.
Asante.