Recent content by netein

  1. netein

    Kuna pesa zozote zilizotolewa na TFF!

    Hapa ni kuwaripoti tu, kwa mfano ule uwanja wa Tabora!
  2. netein

    Wanachofanya AZAM TV kwenye mpira ni uhuni na utapeli, wadau amkeni

    Isingekuwa NBC league hichi king'amuz chao ningeshapiga kiberiti, hakina cha maana wala quality ya picha, channels za HD ni 3 tu nyingine picha hazina tofauti na TBC
  3. netein

    Viongozi wa simba mpira haundeshwi kihuni hivyo! Mchezaji akiumia ni jukumu la timu kumgharamia matibabu!

    hii imekaaje mchezaji anaumia anaruhusuwa akajitibie mwenyewe kwao, mambo ya kizaman sana haya!
  4. netein

    Rais Samia: Katiba mpya hadi watu wasome waelewe maana ya katiba hata hii tuliyonayo

    Sikutegemea Raisi ataiongelea issue ya katiba kirahisi hivi! Viongoz wa africa wajitahid kuwa wazalendo na wasijisau kiasi hichi, na wasidharau raia wao kiasi hichi! Bora nihamie ulaya sasa.
  5. netein

    Where is SGR? 2 years delays? infrastructures?

    [emoji1787][emoji1787]
  6. netein

    Azam ndiyo mnatupandishia vifurushi kwa hizi boxing za walevi wa chang'aa!

    Naangalia hapa hawa jamaa sidhan kama ni mabondia! hawa wameokotwa vilabun
  7. netein

    Ushauri wa wazi kwa viongozi wa Simba SC!

    good idea[emoji1][emoji1]
  8. netein

    Zahanati na Hospitali za Iringa vijijini zinanuka rushwa

    Hii nchi kila kona ni changamoto!
  9. netein

    Simba naona wanatafuta gap la ku-escape mechi ya kesho

    Una ushahid gan kuwa vilabu vyote havikushirikishwa kwenye ule mkataba! Au ni "hear says"! [emoji706]
  10. netein

    Simba naona wanatafuta gap la ku-escape mechi ya kesho

    Wewe mikataba inayosainiwa na serikali yako kama RAIA mwema umewah kuhoji kuhusu ushirikishwaji wako!
  11. netein

    Simba naona wanatafuta gap la ku-escape mechi ya kesho

    Wewe mikataba inayosainiwa na serikali yako kama RAIA mwema umewah kuhoji kuhusu ushirikishwaji wako!
  12. netein

    Naona dalili za mechi ya kesho kutochezwa

    Sasa shida ipo wapi hapo! Terms za kimkataba lazima ziheshimiwe, sasa nyie mlitaka mle hela za mdhamin bure!
  13. netein

    Simba naona wanatafuta gap la ku-escape mechi ya kesho

    Sasa wasipocheza kesho na mechi za kimataifa pia watasusia kwa mkapa kisa mabango ya GSM! Viongozi wa Simba waache upuuzi, wamesajili vibaya wanajua kesho wataaibika wanawaangushia TFF jumba bovu kwa sababu za kitoto kabisa, kama ni changamoto za kimkataba kwanini msubiri game ya Yanga ndiyo...
  14. netein

    Mwenyekiti Simba SC Mangungu: Nchi itasimama Dirisha dogo la Usajili

    Huu utoto sasa, nilivyoona kichwa cha habari nkajua kuna kitu cha maana kumbe ush*z mtupu!
  15. netein

    Mzee Cleopa Msuya: Suala la Katiba Mpya haliepukiki kwani Katiba siyo Jiwe au Amri ya Mungu

    Kweli mzee wetu, inatakiwa katiba mpya ya wananchi, yenye misingi, taratibu na miongozo ya nchi, itayokuwa na credibility na accountability kwa viongozi na wananchi kwa ujumla, Haiwezekani kiongozi awe na power ya kuchagua judges, tume ya uchaguzi, baraza ya mawaziri, wakuu wa mikoa...
Back
Top Bottom