Naona dalili za mechi ya kesho kutochezwa

Singasinga

JF-Expert Member
Aug 27, 2011
2,649
3,162
Habari wakuu

Kwa hiki kinachoendelea naona dalili za hii match kutochezwa

Tff wameweka nembo ya GSM kwenye benchi la Simba
IMG-20211210-WA0011.jpg
 
Hii ndio mara ya kwanza naona benchi la timu kwenye uwanja ambao ni wa serikali, benchi linawekwa logos mbalimbali ikiwemo ile ya club...
 
Simba wana haki katika hili.

Nliiwahi kutahadharisha Gsm wataharibu mpira wa Tanzania. Wanajulikana saaana kwa uswahili uswahili na ujanja ujanja - pesa wanayo tena nyiingi tu za kuchezea lakini wasilete uadui, Simba na Yanga ni watani sio maadui.

Tukumee la sivyo mwishowe vurugu na amani itapotea.

Rejea soka la nchini Misri na mwekezaji tokea Saudia Arabia, akichofanya huko, mwishowe kaanzisha timu yake ya Pyramids.
Kaambiwa ziache Al Ahly na Zamakek.

Simba na Yanga ni za wananchi waaambiwe be careful na Tff watambue hilo.
 
Simba hata wakigoma kwenda sisi mashabiki tuko pamoja na msimamo wa club yetu bora Africa.
 
Logo inakuhusu nini au itawahika miguu wakati wa kucheza
 
Back
Top Bottom