Binafsi namwomba kamanda Mtatiro aje atueleza hapa nini msimamo wa Cuf. Nasema Mtatiro kwa sababu mara nyingi amekuwa akionekana kwenye mitandao ya kijamii akitoa ufafanuzi mzuri kuhusu masuala ya siasa. Karibu Mtatiro watanzania tuna hamu ya kupata msimamo wenu.
Wakati wanapoteza mechi ya kwanza na kutokana na kiwango walichoonyesha nilisema tutatoka kwa aibu tena kubwa. tunafungwa na vinchi vidogo ambazo zote zikiunganishwa haifikii hata mkoa 1 kwa ukubwa. Nashauri kila mkoa au wilaya ianze mpango mkakati wa kuanzisha mashindano ya kuboresha timu ya...
Hii ni kweli, hata kwa nyoka wa sasa mfano Chatu, Kivutu n.k kuna dalili kwamba walikuwa na miguu. kila upande wa anus kuna vitu kama ukucha-toes kitaalam wanaita Pelvic girdle.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.