Serikali ya CCM imejiandalia Anguko takatifu...

Serikali ya CCM imejiandalia Anguko takatifu...

Bunge kumchangia pesa nyingi kuliko wanachama Na wapenzi wa chadema Ndani Na nje ya nchi wakijumlishwa pamoja. You have lost popularity mumebakia kwenye mitandao na media tu ambao hawawachangii chochote pamoja na kuuza sana habari zenu na kupata pesa iwe magazeti nk. Chadema siku zenu za kupendwa Kama wali Ndani na nje Ya nji enzi Za dr Slaa zimeisha.
kipropaganda zaidi. Hapa watu wanajadili maombi lakini mada inapindishwa kwa makusudi maalumu.
 
Ukiwa na mpenzi WA chama asiyekubali kuchangia party course jua huna wapenzi wa chama. Chadema performance Ya michango iwasitue mjue mumechokwa
suala la lissu halijadiliwi kwa misingi ya uchama. ubinadamu kwanza. uccm na uchadema hauna nafasi hapa. Hata angeumizwa wa ccm watu wangesikitika tu bila kuangalia chama. mambo ya chama ni wakati wa uchaguzi mkuu tu zikinadiwa sera na wananchi wachague
 
Kitendo cha Serikali kuanza kuzuia Watz wenye mapenzi mema kumwombea Rais wa TLS,Mbunge wa Singida Mashariki, Mwanasheria wa CHADEMA na Mnadhimu Mkuu wa KUB Mhe. Antipas Tundu Lissu zina akisi taswira hasi kwa jamii ya Kitanzania na ishara mbaya sana.

Baada ya TL kupigwa risasi 28-38 kuna Watanzania mamia kwa maelfu waliguswa na tukio hili na wakaamua kujitolea damu, kufanya maombi makanisani na kusoma albadir Misikitini ili kuonyesha mapenzi mema walokuwa nayo kwa Mtanzania mwenzao TAL. Jambo la kushangaza ni kwamba mambo yote haya yamekatazwa na kuzuiliwa na Serikali ya John Pombe Magufuli kwa sababu zisizo na msingi. Wakti Baba wa Taifa anaumwa, Mkapa anaumwa, Kikwete anaumwa, Marehemu Sitta anaumwa na Job Ndugai anaumwa, Serikali ilihimiza watu waombe ili kuleta uponyaji. Ni bahati mbaya tu Mzee Sitta ndiyo Mungu aliruhusu kumchukua. Leo iweje watu wazuiwe kuomba kwa ajili ya Tundu Lissu?? Kuna nini??

Kama serikali imefikia mahali pa kuzuia hata ibada kwa ajili ya kumwombea Mtanzania mwenzao aliyepigwa risasi 38 kama mnyama tena mchana kweupe kwenye viunga vya Bunge na hawa watu wasiojulikana wakatokomea kusikojulikana ni hali ya hatari sana. Kama sheikh, Padre, Askofu au Mchungaji na waumini wao watazuiwa kuombea ndugu zao walio wagonjwa, wenye shida na uhitaji kwa namna yoyote ile ni kwamba Serikali ya CCM sasa imeamua kupambana na Mungu.....!!!

Mungu siku zote huwa hataki kuwa beeped! Uki-beep yeye anapiga moja kwa moja. Sasa Serikali hii ya CCM na ya JPM imeamua kum-beep Mungu kwa kuzuia watu kufanya ibada zao kumwombea ndugu yao Antipas Tundu Lissu. Tusubiri, mbona ni swala la muda tu na Mungu atapiga!!Anguko lake CCM watajuta kwa kosa hili la kumpuuza Mungu wa Mbinguni..!!!
CCM wajue kwamba kuna MAOMBI YA KIMYA KIMYA YANAENDELEA NCHI NZIMA SIJUI HAYO WATAYADHIBITI VIPI....Labda kwa kutumia watu wasiojulikana ambao Mungu ANAWAJUA VIZURI SANA....Tusubiri matokeo.
MAOMBI YA KISHETANI HAYANA NAFASI KATIKA NCHI YETU.....
 
Kwa nini mnayakataza kama hayana nafasi?
Hakuna kinachokatazwa kama hayo maombi yenu mtayafanyia kwenye nyumba za ibada..... MIKUSANYIKO ISIYO RASMI NDIO ILIYOPIGWA MARUFUKU ....Hii inathibitisha WAFUASI WA CHADEMA NA MAALIM SEIFU NI WATU WASIO KUWA NA SHUGHULI...
 
Hii issue itasahaulika wala hakuna mtanzania atahangaika nayo. Kwani mangapi yamekuja na kupita. Binadamu tumeumbwa kwa kusahau
Ila Mungu hasahau...ATAJILIPIA KISASI KWA KUZUIA HAKI YAKUBUDIWA KWAKE anayostahili toka kwa waja wake.
 
Kama hujui popularity ya chama ni pamoja na uwezo wa ku raise funds kukiwa na issue mwitikio mdogo wa wanachama kuchangia pesa ni jibu tosha kwa chadema kuwa watu wamekichoka na hawako tayari kukichangia tena Kama walivyofanya uchaguzi uliopita. Ukitaka kujua chadema imechokwa angalia pesa walizochangiwa. Spika alisema wabunge wengi walikuwa hawataki kuchangia. Lakini na watu wa kawaida hawataki ni dalili wazi kuwa chadema imechokwa tofauti na 2015 ambapo watu waliweka rehani hadi mali zao wakope wachangie chadema.Fund raising ni moja ya kipimo cha kupima Kama unapendwa au la iwe mchango wa harusi au chochote
Ok....na vip kuhusu ukusanyaji wa kodi...je makusanyo yakishuka mpaka matangaxo ya kila mwezi kufutwa ni kiashiria kuwa mkusanjaji hapendwi tena na wananchi na hakubaliki tena?

Tafakari mkuu...

makalio ya mtoto wa kiume yana kazi moja tuu ila naona umeyaongezea yako kazi za ziada kama kufikiri na kutatuliwa marinda...poleee.
 
Ukiwa na mpenzi WA chama asiyekubali kuchangia party course jua huna wapenzi wa chama. Chadema performance Ya michango iwasitue mjue mumechokwa
Ukiwa na akili ndogo unaegemea kwenye factor moja tu na huwezi kui-isolate na factors zingine..!

Je, wajua kuwa kuporomoka kwa uchumi kumechangia watu wengi kukosa uwezo wa kuchangia ktk mambo mengi zaidi ya hayo?? Au mwenzetu umeolewa ughaibuni?
 
Hawa uvccm ni waropokaji kupitiliza ! Ni buku saba tu inayo wadhalilizha kiasi hiki !.kukurupukia majibu kwenye Mada isiyo,alimradi tu kuharibia watu hasira zao. OK,kama ni michango kaombwa hela yake na nani ?.tabia ya mtoto ndo Tabia ya baba ! Baba zenu wanaropoka mno,Mara watu wasi change damu,Mara wamekusanyika,Mara wameandamana,Mara mbunge ccm kalipia ndege,Mara chezea mpiga watu kwenye kampeni wewe janajime zimaaaa tena zee !! Mara Lisu hata survive, mara wafukuze bungeni,mimi nitadili nao huku nje !!! Sasa ukiambiwa wewe ndiwe ulitaka kumuuwa Lisu utakataa utadili nao kivipi????? Ndg sasa Mungu Aliyesema,na liwe jua ,nauwe usiku,na Yeye atadili na wewe pia.no matter what !, umesha likoroga kwa uhuru na Odinga wanakuchora tu,utalinywa hilo !! Hii yote inaonyesha udhaifu wa akili.hakuna ya maana yahusuyo kuiongoza nchi mmekalia umbea,uzuzhi na uongo tu.mnachefua sana mjue nyie wajinga !
 
Chadema sasa wanasubiri miujiza.
Mkiwa na chama kinachoamini katika albadiri ili kufika ikulu ni hatari sana
Hatari hiyo haizidi ile ya serikali inayoogopa wananchi wake kumwomba mungu wao huku serikali hiyo ikijinasibu kuwa haina dini....tulieni albadri ifanye kazi yake hamtoki mwaka huu.
 
Kama hujui popularity ya chama ni pamoja na uwezo wa ku raise funds kukiwa na issue mwitikio mdogo wa wanachama kuchangia pesa ni jibu tosha kwa chadema kuwa watu wamekichoka na hawako tayari kukichangia tena Kama walivyofanya uchaguzi uliopita. Ukitaka kujua chadema imechokwa angalia pesa walizochangiwa. Spika alisema wabunge wengi walikuwa hawataki kuchangia. Lakini na watu wa kawaida hawataki ni dalili wazi kuwa chadema imechokwa tofauti na 2015 ambapo watu waliweka rehani hadi mali zao wakope wachangie chadema.Fund raising ni moja ya kipimo cha kupima Kama unapendwa au la iwe mchango wa harusi au chochote
Wewe na spika wako ni wanafiki sana. Wabunge wepi walikuwa hawataki kuchanga? Mbona iko wazi kama hutaki kuchanga unasimama na kutoa hoja yako kuwa kwa nini posho yako inakatwa? Mnakuwa wanafiki kiasi hicho?
Kuhusu watu kutochanga fedha nyingi ni kutokana na umasikini ulioletwa na serikali ya Magu, unaona hela ni ndigo lakini zimechangwa na watu wengi ila viwango vyao ni vidogo vidogo.
Hata mitaani sasa hivi watu wanashindwa kuchangia hata harusi za ndugu zao na sio kuwa hawataki bali umasikini ulioletwa na magu
 
Bunge kumchangia pesa nyingi kuliko wanachama Na wapenzi wa chadema Ndani Na nje ya nchi wakijumlishwa pamoja. You have lost popularity mumebakia kwenye mitandao na media tu ambao hawawachangii chochote pamoja na kuuza sana habari zenu na kupata pesa iwe magazeti nk. Chadema siku zenu za kupendwa Kama wali Ndani na nje Ya nji enzi Za dr Slaa zimeisha.
Kaa kimya tu,maana hujui lolote mf**ker wewe.
 
Kwa hiyo ni Lissu pekee aliyepata matatizo hapa tanzania? CCM haiwezi kuanguka kwa hili kaa ukijua.
 
Hatari hiyo haizidi ile ya serikali inayoogopa wananchi wake kumwomba mungu wao huku serikali hiyo ikijinasibu kuwa haina dini....tulieni albadri ifanye kazi yake hamtoki mwaka huu.
Tukiwa na taifa la watu wanaoamini albadiri ujue tumekwisha.
Itafikia mtu akikosa kazi anasoma albadiri,hivi mnajua masharti ya hiyo kitu au mmesombwa na upepo tu
 
Njooni maeneo ya mipakani kwa moja ya nchi za jirani, then muombe kwa serikali husika eneo la kufanya maombi, kumuomba mungu ni popote. Karibuni
 
Hii issue itasahaulika wala hakuna mtanzania atahangaika nayo. Kwani mangapi yamekuja na kupita. Binadamu tumeumbwa kwa kusahau

Hawatasahau huu unyama waliomfanyia. Angepoteza maisha sawa lakini yuko hai halafu watu wanamwona siyo rahisi kihivyo. Ila watamgengea mazingira ambayo ya kumdhalilisha kama ataongea kitu ambacho hatakuwa na ushahidi wa kutosha.

Mungu amuongoze nguvu ya kupambana ampe hekima na busara za kuwaelewa. Asilipize kisasi, mungu kamwona ni mteule na mwokozi wa wanyonge.
 
Back
Top Bottom