Nadhani pia kuna haja watu kujielimisha kuhusu taratibu za kiuchunguzi, haswa linapokuja suala la miamala ya kifedha. Pia ni vyema kujua kama taarifa iliyowasilishwa ni statement ya miamala au ni nakala za risiti anazopewa mteja pindi anapoweka fedha kwenye akaunti yake au ya mtu mwingine...
Kwahiyo kwa sasa huna amplifier?, hizo front speakers zako unauza?.
Pia natafuta fundi mzuri, ambaye wanaweza nibadilishia surround foam/ile rubber ya speake inayoshika cone na frame. Nina speaker ya mid kwenye tower speakers imechanika/imekatika kutokana na uchakavu nadhani.
Nimekuwa nazo nyingi, nataka nipunguze walau. Nina Sony iliharibika ila inawaka lakini sauti haitoi, nina onkyo nayo inawaka ila inaenda kwenye protection mode
Mkuu,
Unaujua mfumo wa kuhamisha hela kati ya mabenki unafanyikaje?. Huko benki X ulikohamisha fedha walikupa nyaraka ya uthibitisho wa kuhamisha fedha/SWIFT Advice ili kuweza fuatilia zimekwamia wapi?.
Hela zinatumwa kwenda na kutoka mataifa mbalimbali na hazipotei, zije kupotea zinazokuwa...
Katika hali ya kawaida, ndege inapotaka kuruka lazima kuna speed ifikie kwanza ndipo inyanyuke
Chini ya hapo haiwezi kupaa maana haitakuwa na lift ya kutosha. Speed hizi zimegawanyika katika makundi mbalimbali.
Sasa ili ndege iweze kuondoka, lazima itengeneze msukumo wa kutosha/generate...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.