Hizo ni sifa zimemzidi kanisani ni sehemu ya bwana na mahali patakatifu sio kwenda kuchamba watu si aanzishe bendi ya taarabu tuu sio kutumia kanisa kama kichaka, waumini wanakosa haki ya mahubiri kwa kukaa kusikiliza habari za makonda
Unaubana uke unaanza kuugua magonjwa ya ajabu yasiyo na tiba mwili huu hauhitaji innovation yoyote, hasa uko chini kukibana mtoto atapita wapi hii ni rastiki mungu kaiweka ingekuwa wanaume wanapenda k ndogo basi waliozaa wasingeolewa wala kuwa na waume, usiwaaharibu wenzako wafukuze wadudu wangu...
Itakuwa mama wa kambo anapika vizuri kwa sababu ni mpya kwa baba yake na ile unafiki wa mwanzo wamwache aende huko akakae hata mwaka ndo atajua alieingia labor na anayemkimbilia yupi bora, watoto wanadanganywa na tabasamu la usoni na chakula lkn hajui moyo huficha mengi mwache aende akaione...
Bangi majani yake kweli inatibu, nina mtoto wa kakaangu alipona kiutaniutani nilikuwa nimembeba kumpeleka hospitali nikakutana na wakaka pembeni kulikuwa kuna bangi imejiotea akasema mshushe chini nimpe dawa nikajua ni utani si akayafikisha yale majani akamkamulia sikioni akanambia rudi nyumbani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.