Habari Wana Jf Doctors
Kama kichwa kinavyojieleza hapo ni kwamba Nina mdgo angu Miaka zaidi ya saba imepita tangu mdgo angu aumwe na nyoka ambae hutukufaham ni wa aina , ailiumwa akiwa anaenda kufunga geti la uzio wa nyumba mida ya usiku, tulimpa huduma ya kwanza ndipo tuka mpeleka hospital...
Jamani sipo hapa kwa ajili ya kutoa hizo mbinu apa, nilikuja kuomba ushauri wa kisheria ni namna gani naweza faidika kutoka kwa wahanga japo uandishi wangu sio mzuri , Mimi sio mharifu , Kuna watu wananifuata inbox wananishauri vema Sana na Kuna baadhi wanataka niwaambie namna ya kufanya
JAMANI...
Kuna siku nilienda Hadi bank flani kwa lengo la kufikisha hili nilikaa kwenye kiti niliwaza Sana kuingia kwa meneja badae nikahairisha kwa kuhofia usalama , nikaishia kuuliza jinsi ya kufungua account then nikaondoka zanguu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.