Aliumwa na nyoka akatibiwa lakini kidonda hakiponi

Nepheriandick

Member
Apr 14, 2020
14
27
Habari Wana Jf Doctors

Kama kichwa kinavyojieleza hapo ni kwamba Nina mdgo angu Miaka zaidi ya saba imepita tangu mdgo angu aumwe na nyoka ambae hutukufaham ni wa aina , ailiumwa akiwa anaenda kufunga geti la uzio wa nyumba mida ya usiku, tulimpa huduma ya kwanza ndipo tuka mpeleka hospital akapatiwa matibabu akapona kabisa , lakini kidonda kipirudi tena situation mbili ambazo zilimpata

1, akiwa anacheza na wenzake , wakiwa wanachoma mifuko ya lambo alidondokewa na uji wa ile mifuko pale pale kilopokua kidonga , akauguza tena kikapona

2 , wakati mwingine tena akiwa anasaidia shughuri za ujenzi pale nyumban alidondokewa na kipande Cha tofali pale pale kidonda kikaanza tena ndio Hadi Sasa hivi kinamsumbua , NAOMBENI USHAURI JAMAN NIMSAIDIAJE HUYO KIJANA KWA SASA YUKO KIDATO CHA TATU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. Muone daktari apate antibiotics za kumeza.

2. Kidonda kioshwe kwa maji ya yaliyochemka na kuwekwa chumvi kidogo. Maji yanaweza kuachwa yapoe lakini yawe safi.

3. kidonda kikishasafishwa akae kwenye kiti akiwa ameweka mguu juu ya stool na ajitahifi kushinda hivyo atembee kwenda chooni tu.

baada ya siku tatu utaona mabadiliko.
 
Nyoka hao ndio wale wakimwagiwa maji ya Mwamposa wanabadilika rangi, wanagaragara na kufa
 
Hiyo ni picha ya hicho kidonda kwa sasaView attachment 1712016

Sent using Jamii Forums mobile app
Kidonda kioshwe kwa maji ya yaliyochemka na kuwekwa chumvi kidogo kisha kipanguse kwa taulo safi kisha mpake Asali safi ya nyuki isiyo chakachuliwa kisha mfunge kidonge kwa bendeji atapona baada ya siku tatu tangu ametumia dawa yangu. Ulete mrejesho wako kuhusu dawa yangu.Auguwe pole.
 
Shukrani Sana Mkuu, barikiwa Sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashukuru saa Wana Jf Doctors , USHAURI wenu umeleta matunda mazuri, dgo ame recover kidonda kimefunga kabisa, anatembea vizuri tu,

SHUKRANI SANA MZIZI MKAVU, SKY NA WENGINE WENGI MLIOTOA USHAURI WENU
 
Nashukuru saa Wana Jf Doctors , USHAURI wenu umeleta matunda mazuri, dgo ame recover kidonda kimefunga kabisa, anatembea vizuri tu,

SHUKRANI SANA MZIZI MKAVU, SKY NA WENGINE WENGI MLIOTOA USHAURI WENU
Ulitumia tiba/dawa gani exactly?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom