Somo la kutengeneza YouTube channel

Somo la kutengeneza YouTube channel

Vipi sheria za bongo zinasemaje kuhusu youtube?
Kwa YouTube channel ambazo ni media unasajiri yaani kama itv, global publishers wao wanalipia ila kwa mtu mfano tuseme kama wewe labda unatoa mafunzo hapo hauta sajiri.
Sema kwenye swala la mauzui ndo utata utakapo tokea
 
Utata utatokea kivipi mkuu?
 
Mkuu wewe una channel? Kama unayo inaitwaje ? Na je unachukuliaje swala la kununua youtube channel?
 
Mkuu wewe una channel? Kama unayo inaitwaje ? Na je unachukuliaje swala la kununua youtube channel?
Channel yangu inaitwa Kasomi TV
Swala la kununua Kama ipo vizuri kuanzia wafuasi hadi watazamaji ni vyema.
Nb: ukiwa unanunua angalia kama haija vunja sera zao.
 
Ndo natafuta hapa mtu Tuanze...awe na confidence kama yule quan wa ThatWasEpic

Hii kazi ni ya ushirikiano maana mmoja anashika kamera mwingine anafanya yake
Mkuu nina uzoefu na kazi nishaanza.
 
Anhaa! nimeicheck ila hauoni km ukisha kidhi vigezo vyao na wao wakiifanyia review channel yako unaeza kutokuwa monetized

Sababu hii audio ulioiweka ilishawekwa kweny channel nyingne

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Hapana mkuu hapo nasubri ikisha kua kuanzia swala la viewers, subscribers na nikikidhi vigezo vyote.
Inatakiwa niwe mbunifu maana wao hawaangalii kama machapisho nimerudia hapo hua ni issue ya hakimiliki kama nimechukua kitu cha mtu na yeye akaniripoti kwao.
 
Back
Top Bottom