Recent content by Nena

  1. N

    JamiiForums Tanzania Rais Kagame azidi kuongeza ndege, anunua Boeing 737-800. Pangaboy mpo?

    Na anataka anga yetu arushie ndege zake. Ama kweli ngamia na mwarabu. Lazima atupige kibuti in the future!
  2. N

    JamiiForums Tanzania Tukishamaliza kumdhalilisha Rais, nini kinafuata?

    Mfalme hana nguo nini? Hadithi za zamani zina mafundisho sana. Someni hata hizi za kitoto, Fairy tales au Hadithi za Esopo au Abunuwas (Kama historia imewashinda)! Read something please, at the end of the day utaambulia chochote kile.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Diwani wa Kata ya Makiba wilayani Arumeru, Emmanuel Mollel(CHADEMA) ajiuzulu

    Njaa itawasumbua wengi!
  4. N

    JamiiForums Tanzania Muhongo: Ukweli utabaki kuwa ukweli - hili la mchanga tume imedanganya, Magufuli asaidiwe

    Hiyo report ya tume imeshakuwa public tuipitie wenyewe. Inawezekana interpretation ya report ikawa ndio culprit kuliko hiyo report yenyewe.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Tukishamaliza kumdhalilisha Rais, nini kinafuata?

    Time will tell. Mmh!
  6. N

    JamiiForums Tanzania Afisa wa ngazi za juu wa Marekani aionya Tanzania

    Naona vipofu wanaongozwa na kipofu. Interesting!! Tusubiri tuone.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Uwezekano wa kuyashitaki makampuni ya madini kurejesha hasara tuliyoipata huu hapa

    Yeye apambane huko juu acha sisi tutafute hela ya kula. Yaani hili suala la mchanga ni gumu kulielewa wakati watu tunakimbizana na shilingi.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Barrick Gold Corporation yailiza Serikali ya Pakistan

    Sasa mawakili wa serikali kazi kwenu. Research zenu Dr. Godbless amewafanyia.
  9. N

    JamiiForums Tanzania Kama Dar es Salaam hawamtaki Paul Makonda, basi ahamishiwe Kigoma

    Mwenyewe anataka Dar. Angetaka Kigoma sekunde 1 nyingi, angepewa.
  10. N

    JamiiForums Tanzania Polepole: Walitaka kumhonga Rais Magufuli Sh. Bilioni 300 ili asifanyie kazi taarifa ya mchanga

    Mbona hizi rushwa zinaishia walitaka? Mitego si iko?
  11. N

    JamiiForums Tanzania Gigy Money amponda Alberto Msando kuhusu video iliyovuja akimpima oil

    Huyo ni mwanamme Kama wanaume wengine rijali, kiongozi au sio kiongozi. Msifukue makaburi!
  12. N

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Uwazi wa RC Makonda na StarTv siri hii hapa nje ndani

    Sounds like The Godfather (mafia style), but what do I know?
  13. N

    JamiiForums Tanzania Live on Star TV: Je, Daudi Bashite atajibu maswali haya?

    Au aje na viboko. Mwaka huu lazima achape watu. Watu hawa appreciate effort za wakuu wa nchi!
  14. N

    JamiiForums Tanzania Adam Malima afikishwa Mahakama ya Kisutu na kusomewa shtaka la 'Kumzuia askari kufanya kazi yake'

    Excessive force. It doesn't make sense at all!
  15. N

    JamiiForums Tanzania Mbunge Lazaro Nyalandu anavyohujumu watu wake

    Hapa ni polisi? Kama hoja zako Zina mashiko chukua hatua za kisheria, vinginevyo unachafua jina la mtu.
Back
Top Bottom