Kama Dar es Salaam hawamtaki Paul Makonda, basi ahamishiwe Kigoma

Kukosea nimekosea ila sio kosa la kuniweka ndani.... sheria iko wazi wezi/wadanganyifu wa elimu wanatakiwa kua ndani! Kuna watumishi wamefukuzwa majuzi kosa ni hilo hilo.. Tusiwe na double standards
Sawa, kwa hiyo kazi ya makonda aliiomba kwa kutumia vyeti?,ili tuone hyo double standard. Jamani everyone is subjected to mistakes.
 
Sawa, kwa hiyo kazi ya makonda aliiomba kwa kutumia vyeti?,ili tuone hyo double standard. Jamani everyone is subjected to mistakes.
Duh! Naona awamu hii mmeamua kufanya 'criminal offences laundering!'. Yaani kama mtu yuko katika nafasi ya kuteuliwa automatically tuhuma zake za kughushi zinakufa natural death?
 
Salute!
Nimekuwa nikisikia na kuwa Dar watu hawampendi mkuu wa Mkoa mchapakazi Makonda. Sasa nitoe ombi kwa mheshimiwa rais ampeleke Mkoa wetu ule ,akatusaidie kutatua kero na kusukuma maendeleo.

Halafu tuone huo msimamo alionao, ambao umewashinda wanaume wa Dar, akapambane na nguvu ya Ujiji na viunga vyake. Halafu inasemekana yeye ni jasiri atatufaa sana maana kule kuna watu wanaojiamini sijawahi kuona . Nataka kuiona nguvu halisi ya Kipenzi chetu huyu katika kuleta maendeleo.

Tanzania ni kubwa ila ina mipaka yake na mwisho wake. Karibu mtani, maana yule mtani aliyeko huko siku hizi simskii tena nasikia ni major general wa jeshi,spidi yake imepungua, sijui kwani.

Tulashashe Mtwale niwegeere.

Nawasilisha!
Mwenyewe anataka Dar. Angetaka Kigoma sekunde 1 nyingi, angepewa.
 
Sawa, kwa hiyo kazi ya makonda aliiomba kwa kutumia vyeti?,ili tuone hyo double standard. Jamani everyone is subjected to mistakes.
Hata kama hakuomba kwa kutumia vyeti, mtumishi wa uma kufoji cheti sio sawa! sheria ziko wazi kama mnaona mnampenda sana tubadili sheria, simple
 
Salute!
Nimekuwa nikisikia na kuwa Dar watu hawampendi mkuu wa Mkoa mchapakazi Makonda. Sasa nitoe ombi kwa mheshimiwa rais ampeleke Mkoa wetu ule ,akatusaidie kutatua kero na kusukuma maendeleo.

Halafu tuone huo msimamo alionao, ambao umewashinda wanaume wa Dar, akapambane na nguvu ya Ujiji na viunga vyake. Halafu inasemekana yeye ni jasiri atatufaa sana maana kule kuna watu wanaojiamini sijawahi kuona . Nataka kuiona nguvu halisi ya Kipenzi chetu huyu katika kuleta maendeleo.

Tanzania ni kubwa ila ina mipaka yake na mwisho wake. Karibu mtani, maana yule mtani aliyeko huko siku hizi simskii tena nasikia ni major general wa jeshi,spidi yake imepungua, sijui kwani.

Tulashashe Mtwale niwegeere.

Nawasilisha!
Sisi wana Dsm tatizo tulilo nalo kuhusu huyu Bwana ni vyeti. Hatutaki kuongozwa na mwizi wa vyeti. Akiweka vyeti mezani tu tutakuwa hatuna ugonvi naye.
 
Gendu umusasili iwanyu, "ngo turashashe mtwale" umutwale wa nyoko siwuwachu.
Uliloko tsee? ulatweye kumtuka sowawe eshaa ,abhahungu bho miziminsi bhazenzela bha minduye inyo nikomuli. Nchu ndondelela ulakilonkwa , ejo uzasanga ugwile munyo nda kubhatitse .
 
Mchukueni bureee Hata Leo tena sasa hivi. Mchukueni,bure na risiti ya electronic mashine tutawapatia.
Kama mnategemea maendeleo poleni.
1.aliita vijana wa kinondoni akasema atawapa kazi mpaka sasa sijui yameishia wapi.
2. Alianzisha kampeni ga kufanya usafi ufukweni,lakini hakuna jipya tena.
3.alianzisha habari za kutembelea kila wilaya sijui kata,yameishia kusiko julikana.
In short hakuna project ataanzisha ikaishia panapo eleweka.
Mkisema msubiri maendeleo kwake,nawashauri bebeni na viti(mkisimama Sana mighh itaingia tumboni),bebeni miavuli ya jua na mvua vyote vyenu. Kubwa zaidi bora mkalime mle Maana mkimsubiri yeye mtakufa na njaa
 
Back
Top Bottom