Mathayo 23:37
[37] “Ee Yerusalemu, Yerusalemu, uwauaye manabii na kuwapiga mawe wale waliotumwa kwako! Mara ngapi nimetamani kuwakusanya watoto wako pamoja, kama vile kuku akusanyavyo vifaranga wake chini ya mabawa yake, lakini hukutaka!
Hao wayahudi wamelaaniwa.
Dhihaka ni dhambi mbaya mnoo kwa Mungu, kama umeamua kuwa shetani kuwa shetani deal na shetani wako kikamilifu. Maana ukimhusisha Mungu kwenye ushetani wako atakuraruaa in a moment
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.