Recent content by nelson15

  1. N

    JamiiForums Tanzania Mzoefu wa kuagiza bidhaa kwa kutumia Aliexpress anisaidie

    Kama ni posta Unaweza kuchua hadi wiki mbili kutoka ulipoingia nchini, kulingana na mahali ulipo na mizigo iliyopo
  2. N

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri wa Biashara ya vitenge kutoka Zambia

    Vipi uki import mwenyewe kutoka china... kwa CBM inawezakuwa beigani kodi?
  3. N

    JamiiForums Tanzania Express shipping from China to Tanzania, every week

    Sawa
  4. N

    JamiiForums Tanzania Express shipping from China to Tanzania, every week

    Gharama kwa kilo ikoje kwa kila aina ya mzigo?
  5. N

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Wakuu naombeni machimbo ya belo za nguo za watoto na yebo za mtumba zenye muundo wa sendo
  6. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta PS 3

    Natafuta ps3, nipo Morogoro. Bajeti yangu ni Tsh. 200,000/- Mawasiliano: 0679680895
  7. N

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada kuhusu kilimo cha Bamia, Hoho na Biringanya

    Naomba kujuzwa dawabora za wadudu na booster kwaajili ya mbogamboga
  8. N

    JamiiForums Tanzania Leo itakuwa mwisho kulipia bando, nimepata suluhisho la bure

    Hii ina fanya kazii kwa vpn zote?
  9. N

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata mganga wa Kienyeji mzuri?

    Mbona hakuna mirejesho au ndo wote tumeokoka?!
  10. N

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata simu hii (Nokia 1680c)?

    Wakuu mimi natafuta Housing na display ya nokia 1680c-2 naweza kupata wapi? mimi nipo morogoro.
  11. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Inauma sana. Leo amenitamkia wazi kuwa simridhishi na hajawahi kuridhishwa

    Mkuu we mpelekee moto akitaka kuridhika aende kwabaake.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Biashara ya viatu inaweza kukutajirisha

    Bado sijaelewa mkuu hiyo bei ya elfu10 ni bei ya kila pea katika hiyo dazani au ipoje hii?
  13. N

    JamiiForums Tanzania Biashara ya viatu inaweza kukutajirisha

    Shukrani mkuu nilikuwa nazungumzia vile vyakawaida
  14. N

    JamiiForums Tanzania Biashara ya viatu inaweza kukutajirisha

    Zaduka mkuu, tatizo nimeshindwa ku upload picha
Back
Top Bottom