Express shipping from China to Tanzania, every week

Express shipping from China to Tanzania, every week

Habari boss, kampuni ya PM TRADING AND LOGISTICS inapenda kukutaarifu kuwa inaendelea na zoezi la kupokea mizigo itakayosafiri Kwa njia ya ndege kutoka China kuja Tanzania.
Wiki hii ndege itasafiri Jumatano ya tarehe 25 mwezi wa 9.
Tafadhali mpatie supplier wako address yetu

OUR CHINA ADDRESS
广州市越秀区环市西路202号之三第十一层1148铺(美博体育用品市场)-Patrick 19584669781

Ofisi zetu Tanzania zipo kariakoo, makutano ya mtaa wa Livingstone /Pemba, Tanga Tower, Floor 2c

WhatsaApp +255 697 692 507
 
Duh humu mbona naona kama watu wameingia kwenye biashara ya mtu na kutangaza biashara nyingine..., kweli its a dog eat dog world....
 
Express flight 25.png
 
Hii thread niliianzisha mimi mwenyewe Mwaka jana ambapo kipindi hiki nilikuwa kampuni X
Duh humu mbona naona kama watu wameingia kwenye biashara ya mtu na kutangaza biashara nyingine..., kweli its a dog eat dog world....
 
Ratiba mpya hii hapa...

WhatsApp/Calls +255 697 692 507
IMG-20241101-WA0011(3).jpg
 
Hizi ni sensitive goods ( mizigo yenye sumaku, maji maji au battery) , imeondoka na ndege ya jana

Calls/WhatsApp +255 755 18 48 73

IMG-20250325-WA0002.jpg
 
Boss ratiba mpya ni hii hapa, kutakuwa na ndege ya tarehe 01 April 2025 na ndege ya tarehe 05 April 2025.
Ndege hizi ni express flight.
Kama una mzigo China tafadhali mpatie supplier wako address yetu
WhatsApp/Normal call +255 755 18 48 73
RATIBA YA NDEGE 10183829.png
 
Gharama kwa kilo ikoje kwa kila aina ya mzigo?
Kwa normal goods kama nguo , accessories na spare za magari ni usd 10.5, pia discount zipo kadiri unavyokuwa na kilogram nyingi.

Sensitive goods yaani bidhaa zenye asili ya powder, vimiminika, bidhaa zenye battery , sensors na bluetooth ni usd 12.5 kwa kilogram

WhatsApp /Calls napatikana kwa +255 755 18 48 73
 
Sawa
 
Back
Top Bottom