Recent content by nelly show

  1. nelly show

    Vodacom yafafanua changamoto ya mtandao inayoendelea, wanashughulikia kumaliza tatizo

    Wanatuona mazezeta hawa Sa kwa nini wasitoe taharifa mapema kuepusha usumbufu tunaoupata
  2. nelly show

    Nina wasiwasi huenda nimeshatapeliwa

    Wala usiwe na waswas ni transporter wazur tu hawana izo mambo
  3. nelly show

    Mwanamke wangu anapenda mapenzi kila dakika na ni mke tutatoboa kweli?

    Nani alikushauri uwe na mwanamke mwembamba shauri yako komaa
  4. nelly show

    Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

    Hili wazo lako haliongezei chochote zaidi ya kuwapotosha wanadamu kuendelea kufanya mabaya Ukikaribia kufa futa huu uzi mkuu maana utakuhukumu sku ya mwisho Hii kitu inaishi unajua
  5. nelly show

    Nyumba ipi naweza kuikamilisha kwa 7M nikahamia kati ya hizi?

    Haitoshi mkuu Inategemea na eneo ulilopo Ukibana saaana Kwa haraka haraka kusimamisha boma Msingi utakula mil. 2 Tofali ni kama 1800pcs=mil. 1.8 Cement mifuko 70pcs= mil. 1.4 Mbao na bati mil. 3 Na hapo bado sana make kuna Slab Brandaling za gypsum Gypsum board Plasta Wearing ya maji na umeme...
  6. nelly show

    Usimpeleke mwanao shule za bweni

    Cha kushangaza shule nyingi zinalazmisha watoto wawe boarding Mtoto anatoka shule na matabia ya ovyo hajui hata kusalimia kiujmla wanatoka shule hawajui chochote kuhusu jamii
  7. nelly show

    Hakuna biashara inafilisi kama uchimbaji wa madini

    Daa pole sana mkuu Ila cha kushangaza wanaoshawishi wengine kuwekeza kwenye dhahabu ni wengi sana Sasa sijui wanakua na nia gani
  8. nelly show

    Tanzania idadi ya watu imeongezeka lakini hali sio nzuri mkoa wa Kilimanjaro

    Hii mambo inaniwazisha sana mkuu Sjajua haya mabaliko yataishia wap Maana hata wale vijana wachache waliobakia pale hawana malengo ya pale wanawaza mjini tu
  9. nelly show

    Tuongelee ugonjwa wa Panic Attack

    Unatumia kwa sku ngapi mkuu
  10. nelly show

    Rais, wastaafu wana miezi zaidi ya 8 hawajalipwa mafao yao

    Mtu hafanyi kaz unataka alipwe hela ya nn Sent using Jamii Forums mobile app
  11. nelly show

    Naomba msaada wa kiroho Toka juzi napenda kulala uchi

    Cio bure mkuu kuna kitu mwili unataka ufanye kama cio kufanyiwa Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom