Tuongelee ugonjwa wa Panic Attack

Kizoda

Senior Member
Mar 5, 2022
130
296
Hallo ndugu zangu

Leo nataka tuongeleye ugonjwa wa Panic Attack

Ugonjwa ambao unasumbua watu wengi sana katika dunia hii ya leo
Wengi wanashindwa kutambua huu ugonjwa kitu ambacho kinapelekea watu wengi kufikiri kama wana matatizo ya moyo wengine wanaenda mbali wanafikiri wamerogwa kitu ambacho sio kweli

Kwanza tunatakiwa tujue ni vitu gani hasa vinapelekea mtu kupata ugonjwa wa pannick attack

Mtu anapata ugonjwa wa Panic Attack akiwa na mawazo mabaya ya vitu mbali mbali

Au akitokewa na kitu ambacho hakutegemea kama kinaweza kutokea katika maisha yake

Hivyo ndivyo vitu ambavyo vinapelekea mtu kupata ugonjwa wa Panic Attack kuna mengi sana ambayo yanasabanisha kutokea kwa ugonjwa uo mimi najua hayo tu

Dalili zake ni zipi

Dalili za Panic Attack cha kwanza na ku feel kama unataka kufa hivi yaani kuwa na hofu ya kufa hiyo ndo dalili kubwa saana

Cha pili na magonjwa au kuwa na hisia za maumivu katika akili yako yaani mtu kuhisi kama anaumwa hivi kitu ambacho si kweli bali ni hisia za maumivu tu ndo zinampelekea kuhisi hivo na ukienda hospitali, daktari wanakuambia hakuna ugonjwa wowote ambao unakusumbua, tambua ndugu yangu una hisia za maumivu

Tatu ni mapigo ya moyo kwenda kasi mtu ambaye ana ugonjwa wa Panic Attack
akiwa kwenye mawazo mazito lazima moyo weke uende kasi saana

Dawa ya Panic Attack nini ?

Dawa ya Panic Attack ni karafuu.

Karafuu inaponya ugonjwa huu vizuri sana
pamoja na ushauri wa watu.
 
Hallo ndugu zangu

Leo nataka tuongeleye ugonjwa wa pannick attack
Ugonjwa ambao una sumbuwa watu wengi saana katika dunia hii ya leo
Wengi wanashindwa kutambuwa huu ugonjwa kitu ambacho kinapelekea watu wengi kufikiri kama wana matatizo ya moyo wengine wanaenda mbali wanafikiri wamerogwa kitu ambacho sio kweli

Kwanza tunatakiwa tujue ni vitu gani hasa vinapelekea mtu kupata ugonjwa wa pannick attack
Mtu anapata ugonjwa wa pannick attack akiwa na mawazo mabaya ya vitu mbali mbali

Au akitokewa na kitu ambacho hakutegemea kama kinaweza kutokea katika maisha yake

Hivyo ndivyo vitu ambavyo vinapelekea mtu kupata ugonjwa wa pannick attack kuna mengi saana ambayo yanasabanisha kutokea kwa ugonjwa uo mimi na jua hayo tu

Dalili zake ni zipi

Dalili za pannick attack cha kwanza na ku feel kama unataka kufa hivi yaani kuwa na hofu ya kufa hiyo ndo dalili kubwa saana

Cha pili na magonjwa au kuwa na hisia za maumivu katika akili yako yaani mtu kuhisi kama anaumwa ivi kitu ambacho si kweli bali ni hisia za maumivu tu ndo zinampelekea kuhisi hivo na ukienda hospital docter wana kuambia akuna ugonjwa wowote ambao unakusumbuwa tambuwa ndugu yangu una hisia za maumivu

Tatu ni mapigo ya moyo kwenda kasi mtu ambaye ana ugonjwa wa pannick attack
Akiwa kwenye mawazo mazito lazima moyo weke uende kasi saana

Dawa ya pannick attack nini ?

Dawa ya apannick attack ni karafuu
Karafuu inaponya ugonjwa huu vizuri saana
Pamoja na ushauri wawatu
Kwahiyo hiyo karafuu unaifanya nini unaimeza au unairambaramba..?
 
Kwahiyo hiyo karafuu unaifanya nini unaimeza au unairambaramba..?
Chemsha maji chukua tembe chache za karafuu dumbukiza..funika for 2hrs..chuja unywe
Au
Chemsha maji na karafuu..zisichsmke Sana ikianza kubadilika rangi ipua..acha iwe vugu kunywa
Au
Chemsha maji yachemke weka kijiko kimoja ch unga wa karafuu koroga acha dk 5 kunywa
 
Chemsha maji chukua tembe chache za karafuu dumbukiza..funika for 2hrs..chuja unywe
Au
Chemsha maji na karafuu..zisichsmke Sana ikianza kubadilika rangi ipua..acha iwe vugu kunywa
Ahsante
 
Unatumia kwa sku ngapi mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom