Recent content by Nelly G

  1. N

    Binti kakubali, wazazi hawataki kisa dhehebu

    Vitu vingi wamebumba tu, una uhakika gani hivyo vitabu ni maneno ya Mungu, kwanza kuna mengi sana kwenye vitabu vya dini ya kikristo na uislam vina kinzana, mambo yale hayakuandikwa kwaajili yenu, kila taifa lilikua na namna yake ya kumtafuta Mungu..... Kama unaamini Mungu aliumba wanadamu wote...
  2. N

    Binti kakubali, wazazi hawataki kisa dhehebu

    Ndugu zangu watu weusi, ukristo na uislam mliletewa ili muibiwe mali zenu, waarabu na wazungu hawakua na shida ya kutufundisha kumjua Mungu, kwa maana tulikua tunamjua tayari.... Angalia wachina na wahindi, wana dini zao na ni mataifa yenye maendeleo sana, sisi tumekalia tu upuuzi wa kubaguana...
  3. N

    Mwanaume jitahidi kujua msimamo wako kiimani na usimame nao kabla hujaingia kwenye ndoa

    Wewe una mawazo kama yangu kabisa yani... Hakuna dini si uislam wala ukristo ila yesu anaokoa.... Watu hawajui kuwa unaweza ukawa huabudu dini yoyote na ukawa mtu wa Mungu
  4. N

    Utata wa kidini kwenye haya mahusiano umetuacha njia panda

    Hao wenzetu dada zetu wanaoa vizuri na wanawabadili dini vizuri tu, na wakati mwingine wanawataliki mbele ya safari. Ila kivumbi dada zao wanaona kama wanaozesha kwa mashetani, all in all mimi huwa naamini dini zote mbili zimekuja kutugawa tu na si kutuweka karibu na Mungu maana tunavyotazamana...
  5. N

    Mke wangu ni mgumu sana kujishusha

    Umeongea sawa kabisa yamenikuta hayo nawajua wanawake wa kinyakyusa
  6. N

    Alikuwa ananikwepa kabla hajazaa, sasa ana mapacha anataka nimuoe!

    Huyo tena ndo mzuri anazaa double double, umkubalie
  7. N

    Siri ya Furaha ya ndoa ni kuishi wanandoa kama marafiki (washkaji) wawili

    Jamii imezalisha wanaume malofa sana, siku zitakuja ambayo wanawake watatamani uwepo wa wanaume halisi, wenye msimamo, jasiri lakini hawatakuwepo kwakua wamewaharibu wenyewe kwa kuwaambia kwa wao ni sawa na wanawake,.... Na ndo maana vitoto siku hizi havina adabu kwakua baba zao wamefunikwa...
  8. N

    Siri ya Furaha ya ndoa ni kuishi wanandoa kama marafiki (washkaji) wawili

    Kukoseana adabu tu, mumeo hutakiwi kumzoea namna hiyo, nyinyi sasa mmetoka kwenye urafiki na kuleta usela mavi. Ni rafiki gani huyo unajamba mbele yake na anaona poa tu! kama sio kukosa akili, sometimes mwanamke au mwanaume unapojiexpose sana kwa mwenzi wako, unapoteza ule msisimko uliokuwepo...
  9. N

    Nakupa ukweli mchungu

    Oa kitu moyo wangu unaridhia, hata wakikuchapia ni rahisi kusamehe.... Umeoa mwanamke mbaya halafu wakukazie, si ndio unajiua
  10. N

    Sitaki nifike mbali leo nataka niongee na mzee nimwambie jambo

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimecheka kifala.... Utoto raha sana, umejua kutuondolea steresi
  11. N

    USHAURI: Nirudiane naye au nikaushe?

    Anataka kukuchezea huyo
  12. N

    Wanawake ndiyo chanzo Cha ndoa zao wenyewe kuharibika

    Kaka umenumizungumza mimi kabisa yani...... Mwanaume unapokosa tendo la ndoa akili inahama kabisa, unakosa furaha hasira muda wote, wengine wanafikia hatua mpaka ya kujichua. Na ukiwa unapewa kwa uchache hata perfomance inashuka, mpk unahisi labda una upungufu wa nguvu.... Nimeona mtu ukiwa na...
  13. N

    Wazazi, acheni kuwapotezea muda watoto wa kiume kuwafundisha kupika!

    Umeongea kitu sensitive sana... Kumtumia mtoto wa kiume kupika na kudeki ni sawa kutumia scania semi trailer kama taxi...
  14. N

    Hii imekaaje kitaalamu wakuu

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umeongea kwa uchungu sana
  15. N

    Hivi nyie watu wa magari mnajua ni raha gani watu wa pikipiki wanazila?

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Back
Top Bottom