Hii imekaaje kitaalamu wakuu

Hii imekaaje kitaalamu wakuu

Dah yan mkitoka hapo ni kumchana tu uhalisia na tokea hapo una assume kama hamjawah onana yan humfahamu ata akikupigi unamuuliza samahan naongea na nani vile

[emoji28][emoji28]mbinu ya kibabe sana
 
Kwahiyo ulitaka ukazindue TUNDA kiulai laini tu[emoji1787][emoji1787]kumbe lisha zinduliwa tuanzie kwako kwanza wewe uvulana wako BADO umejitunza?

Nilitaka nizindue tunda yaani chungwa nilidhani kama chenza kumbe lishamegwa kitambo!,yaani anaapia kabisa hajawahi wanawake aisee [emoji1544]
 
Heshimu choice za watu za maisha mzee, na hizo bikra ulizozitolea getto si ulidhani demu ni andaki

tukirudi kwa muandishi aisee chapa fimbo za matako huyo demu

[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Bikra??[emoji23] Labda uniambie kilichokuuma ni kudanganywa na si unajua sie wote waongo wake Kwa waume ,,hii generation hakuna bikra bro,,
Kama una approach Kwa njia ya pesa mwaga pesa ,,kama maelezo toa maelezo,,kama vitendo onyesha vitendo,,give it all,,unajilaum nn mzee ushamwaga zako bhana bikra ndo nn Kwan unataka mke??

Kinachoniuma ni hiyo kuniapia kabisa ni bikra na hajawahi hata siku moja kusex lakini nikatumia mbinu za kijasusi nikampandisha genye hapo hotel nimelipia laki tena short time Lahaula break mbupu hadi hisia zikakata [emoji30]
 
Inatia Sana hasira ii kitu ... Sikien tu... Ilinikuta iyo Kaka... Gharamia mpk Serengeti uko mbugan kufika nijilie Mambo


Daaah ... Nikakata adi motto

[emoji28][emoji28]
 
Inatia Sana hasira ii kitu ... Sikien tu... Ilinikuta iyo Kaka... Gharamia mpk Serengeti uko mbugan kufika nijilie Mambo


Daaah ... Nikakata adi motto
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umeongea kwa uchungu sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom