huyo mtu kashakufa wazee,basi kama wamemficha hata marekani watakuwa wanahusika moja kwa moja,haiwezekani mtu kama Balali aliyefanya kazi na marekani wasijue taarifa zake.kama kufichwa kafichwa na marekani,basi inabidi tupige kelele kwa marekani watupe mtu wetu.
namuomba mungu,anipe uzima mpaka2015 niungane na watz wenzangu kuweka na kushangilia historia mpya ya kumuweka dr slaa madarakani.kama watu wa marekan walivyosubili rais mweusi kutawala.
kila mtu tunamuona hafai kuwa rais ,inabidi tuache ushabiki wa kichama,tuungane kwa pamoja kuchagua mtu ambaye anaweza kutuunganisha watanzania wote na kuimarisha taasisi zote muhimu.tupo kwenye kipindi kibaya mno cha ombwe la uongozi,
kwanini wasimpeleke mahakamani,wanazidi kumchafua tu,fisadi fisadi,hii sio sawa lowassa ni mtanzania na anastahili haki zake za msingi ziheshimiwe kama raia.
kwani nyie ccm hayo mambo ya rushwa ndio yameanza kwa lowassa hahaha,mwache mwenye pesa azitumie anavyoweza,kikwete aliingia vp?tuna options mbili tu lowassa na slaa,hatutaki mjadala mwingine.wananchi watahamua sio ninyi waoga wa kushindwa.
hili fupa gumu,lowassa jasiri kumfukuza haisaidii,kwanza hatopanic atazunguka nchi nzima kupata huruma ya wananchi,kumbukeni wengi wanaopiga kura sio wavyama wa siasa,anaweza kugombea kama mgombea binafsi(yaan mpinzani wa ccm),ccm no way out
ccm hamna uhalali wa kuipangia chadema mtindo wake wa kiungozi na wa kimkakati,chadema inaonyesha uhalisia kwanini kinaitwa chama kikuu cha upinzani ,na haya ndio matumizi bora ya ruzuku,kuimarisha chama,uchaguzi ujao tunataka chopa 50 kuwa hewani,kila kanda chopa tatu.
zitto kama anajua lowassa kaficha pesa uswiss kwanini asimtaje?,nyie ongeen yeye lowassa anachanja mbuga tu ,lakini akifika 18 za CHADEMA, LOWASSA KAFA
Ukombozi ni gharama,mimi binafsi nawapongeza CHADEMA kwa kuwa wabunifu,na huu mtindo wa kutumia chopa uendelee zaid kwenye oparation zinazokuja,kwani zina tija kwa CHADEMA lakini ni hasara kwa CCM na vyama vingine tudogotudogo,kwa hiyo basi naona vyema uchaguzi 2015 kuwe na chopa takriban 20,na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.