mshumbue-soi
JF-Expert Member
- Aug 28, 2013
- 1,842
- 1,148
Heshima kwenu.
Tanzania kwa awamu ijayo ili kusababisha ukuaji wa Uchumi kuwafikia Wananchi wa kawaida au wakipato cha chini.
Na ili kuweza kutoa ajira kwa vijana ambao ndo wengi kwa mujibu wa sensa
Na ili kuweza kusababisha Uvunaji wa Rasilimali hasa Gesi kuwanufaisha wananchi wa kawaida
Na vilevile kuleta ustawi wa Jamii
Nitoe hoja kuna umuhimu wa Dr. Reginald Mengi akatuongoza ktk kuzitatua Changamoto zinalokabili Taifa letu.
1,Anauwezo wa kuitoa jamii from zero to hero.
2.Ana busara ya hali ya juu hana utani kwa maamuzi ya maslahi ya wengi.
3.Anawapenda watanzania kile anachopata kimevuka mipaka ya ndugu, jamaa na kuwafikia watanzania bila ubaguzi wowote.
4.Amethibitisha ni problem solver wa jamii.
5.Amewatoa watanzania mbali wakawa na matumaini
Itoshe kusema waliokaribu wamsihi kwa niaba yangu yetu tunaoamini uongozi ni kuonyesha njia sio kuchekacheka, utani na kujilimbikizia mali WAMSIHI ajiandae na CCM waache utani tulitazame taifa letu tumwombe atuongoze kupambana na umaskini, ujinga na maradhi