Recent content by neliville

  1. neliville

    Binadamu: Kiumbe chenye chanzo kisichojulikana, yupoyupo tu hana mwanzo wala mwisho

    Wewe ni kiumbe mwenye uwezo wa kibinadamu usilazimishe kufahamu yasiyo uwezo wako utachanganikiwa memory yako na ramu gb 4 unataka kichwa Chalo kihifadhi vitu vya gb 1000 hiko ni kichekesho
  2. neliville

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kiongozi siamini lichotokea
  3. neliville

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkuu mi naona hiki cheo Cha officer kubashiri kimenishinda narudi kulima
  4. neliville

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Yaaaani mm maishani kwangu be nikija kubetia Spurs maishani mwangu labda niwe shoga toka juzi nafukuzia hela Leo kabaki yeye na point zote zile alizopewa shelfd kapigwa kachana mikeka yote na ndo ulikuwa nauli ya kazini j.tatu fala yule
  5. neliville

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkuu mechi hii unampa nani kiongozi
  6. neliville

    Shabibiy: Nilinunua basi langu la kwanza nikiwa na miaka 19. Asema mafanikio yake siyo ya kurithi

    Huyu ashtakiwe kwa kutakatisha mafaniko kafanya dhambi nyingi ktk kutafuta pesa alafu anakwambia bidii Nikama mwasha na mumewe motivational speaker kumbe mapusher
  7. neliville

    Wish inauzwa kwa 7.5

    Toyota wish kwa 7.5mil.cc1790 automanual, good condition ,mp4,video ,seven seat ,one litre per 14km ,black , being 7.5milion karibu pm for owner /buyer negotiations
  8. neliville

    Askari watatu wa vyeo vya juu kutoka mkoa wa kipolisi Rufiji wamefariki baada ya gari yao Aina ya Landcruzer kupasuka tairi

    Mungu hawabariki na kusamehe yote waliyokosea juu ya dunia na haesabu mema yao machache kwasababu ,haijalishi bado walikuwa binadamu katika kutimiza wajibu waho roho zilazwe mahali pema peponi
  9. neliville

    Sababu kubwa ya Uhuru Kenyatta kurudisha dhahabu ya Tanzania ilikuwa hii

    Haahaaaahaa show me the the redeemer, don't make late monk got a date ,hahhahaa
  10. neliville

    Car4Sale SPACIO, ALLION & PREMIO (NEW MODEL) NAMBA C OFFER 7M

    Lete milioni 8nikupe wish no d
  11. neliville

    Soma hii kwa tafakuri

    Nitembee kifua mbele kwa jinga lilokuwa linagawa dhaabu kuanzia Mali mpaka makka mpaka Dhahabu ikashuka thamani lkn Mali bado nchi maskini manka Musa alikuwa mjinga so utajiri ukwapi sasa maafrika mengine yamepata mafanikio kwa msaada was wazungu walio gundua na kupromote hiyo michezo lasivyo...
  12. neliville

    Natafuta kiwanja Dodoma

    Ni pm
  13. neliville

    Kilichoniudhi nikiwa Kwenye mkoa huu wa Rukwa

    Mbona CIA wanaonyesha mpaka mtaani vinakaa kiunoni FBI vilevile sema wa bongo wanapenda Ku complicate mambo kamuonyesha afisa mwenzie ili asimuulize labda maswali mengi so yeye kama aliona ujue alishamjua hana madhara ,sema hakujua kama amekaa na mtu kilaza sasa hayo yakuleta Jami forum...
  14. neliville

    Kilichoniudhi nikiwa Kwenye mkoa huu wa Rukwa

    Mkuu kwani kazi ya ID nn kwa uelewako c kamuonyesha afisa uhamiaji wewe. Tatizo lako nn mbona unateseka kwa vitu vya king jinga au ni wivu tu
Back
Top Bottom