Natafuta kiwanja Dodoma

MZAWA JF

JF-Expert Member
Apr 4, 2014
4,120
3,346
Nina bajeti ya 2m faster! Kiwe maeneo yenye umeme na Maji. Pesa IPO mkononi
 
Mkuu acha upumbavu na ujinga wako.Nenda Jiji upate utaratibu na mchakato wa kupata kiwanja kihalali na kizuri.

Vishoka ni wengi sana wa Viwanja. Acha kabisa utatapeliwa bure.

Hukusikia mkuu wa wilaya akizungumzia kuna zaidi ya malalamiko 300 ya watu kitapeliana Viwanja?

Acha shoti kati,hata mamlaka za ardhi zipo makini na matumizi ya ardhi,utavunjiwa usipofuta masharti.

Hizo PM ni za kitapeli tu.Kuwa makini.

Sikupotoshi.
Nina bajeti ya 2m faster! Kiwe maeneo yenye umeme na Maji. Pesa IPO mkononi
 
MIMI NINA VIWANJA VYANGU MIYUJI 6 NAVIUZA UMEME MAJI YAPO SQUIRE METER 1,326 KILA KIWANJA BEI NI 8M ATAKAYEHITAJI 0717 124979
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom