Recent content by neliswa subra

  1. neliswa subra

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aki wadada ako nakosea nini dunia?

    Hiki ni kiswahili cha wapi?
  2. neliswa subra

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke husika kwenye kila jitihada ya kimaendeleo anayofanya mume wako

    Kama amekushirikisha hapo kweli utahusika. Kuna wanaume ambao hawashirikishi wake zao, anaweza akakopa akafanya mambo yake na asikushirikishe, au akauza hata kiwanja bila ya mke kujua au kufanya jambo lolote bila kumshirikisha mke wake
  3. neliswa subra

    JamiiForums Tanzania Mada Maalum: Waliochaguliwa kujiunga chuo kikuu cha Dodoma 2017/18

    Na kweli kama hi hivyo wasingeacha mtu
  4. neliswa subra

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsia ya mtoto ni mpango wa Mungu au sayansi inatuongopea?

    Ni mpango wa mungu Sent using Jamii Forums mobile app
  5. neliswa subra

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ninatamani kurudi kwake...

    Hustahili kurudi kwake HUMFAI Sent using Jamii Forums mobile app
  6. neliswa subra

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mama watoto anasema hana hisia za kimapenzi baada ya kujifungua

    Yawezekana Kuna vitu unavyomboa au kumkosesha raha. . Baadhi ya watu kitu kingine kinaweza kuathiri maisha katika mapenzi Sent using Jamii Forums mobile app
  7. neliswa subra

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Changamoto za mpenzi zinanikosesha raha

    Umewekwa spare tyre hamna mume hapo. Na hata akikuoa atakusumbua sana maana mwenye Lake haachi Sent using Jamii Forums mobile app
  8. neliswa subra

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi hizi ni 'stress' gani?

    Wanawake wengi tukiwa na stress hamu ya hayo mambo inapotea kabisaaa Sent using Jamii Forums mobile app
  9. neliswa subra

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni tabia gani mwanaume anazitaka kwa mchumba au mke wake?

    Na wanaume pia wapo wanaonuna haooo balaaa Sent using Jamii Forums mobile app
  10. neliswa subra

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Matofali 10 ya ndoa bora

    Ni somo zuri, Lakin hao wanaume unaweza kuwafanyia yote Lakin unakuta Mtu jeuriii, kiburiii hajali na wala hana mapenzi kwako Sent using Jamii Forums mobile app
  11. neliswa subra

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sifa 15 za kijana ambae hayuko tayari kuoa

    Hata kwenye ndoa wapo kama hao Sent using Jamii Forums mobile app
  12. neliswa subra

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mume wangu amemtongoza rafiki yangu na baada ya kugundua analazimisha urafiki ufe

    Aisee una moyo wa kipekee! MARA TANO DUH Sent using Jamii Forums mobile app
  13. neliswa subra

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakinadada mlioingia kwenye ndoa muwe wavumilivu

    Hayo ya uvumilivu basi yafanyike Pande zote mbili, mume akimkuta mke anachepuka naye avumilie. Wote tuna mioyo na tunaumia. Sio nikimkuta yeye Nisamehe nivumilie Lakin akinikuta mim talaka siku hiyohiyo Sent using Jamii Forums mobile app
  14. neliswa subra

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tangu nihisi mume wangu ana michepuko sina hisia nae

    kwani nayeye mwanaume alikuwa bikra
  15. neliswa subra

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mume wangu anatoka kimapenzi na mama yangu, nimeona meseji za mapenzi kwenye simu ya mume wangu

    sio wote wanaanza std 1 na miaka 7. kuna wanaonza kabla ya umri huo
Back
Top Bottom