Recent content by neema pita

  1. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sijui lengo lake nini

    Nina miezi 3 tangu nimejifungua. Mzazi mwenzangu tulipanga kuona baada ya ujauzito akaniambia nitoe nikakataa basi tukarumbana tukawa tumekosana. Nimekaa nyumbani na ujauzito nyumbani nikaambiwa niende kwa alienipa huo ujauzito nikaenda kwa nguvu japo jamaa hakutaka alinipikea tumekaa. Simu...
  2. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimekata tamaa ya kuolewa

    sio mimi ndugu ni story ya rfk yangu ila kama upo serious nimfikishie ujumbe
  3. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimekata tamaa ya kuolewa

    Aisee huyu mtu anaitaji ushauri Nimekata tamaa ya kuolewa kabisa kwani niliedhan kuwa ndo mume wangu kanigeuka vibaya sana. Umri wangu miaka 28 nimejitunza siku zote nikiamini na kumuomba mungu anipe mme mwema nimekua katika maadili ya kidini nimepoteza wachumba wengi baada ya kutofautiana...
  4. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri wa haraka jamani

    nashukuru mungu naendelea kuimprove ilikua haipiti wiki sasa nina miez 2 cjafanya hicho kitu
  5. N

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Shinyanga wing: Ingia humu tujuane

    naleho nkoi bugweto bihe na mhumbu ng'wabheja sana bhadogo bhane
  6. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania khaa!hata mbele za watoto natetemeka!!

    punguza virobaaa
  7. N

    JamiiForums Tanzania Eti hii inawezekana?

    Habari zenu wana JF, kuna rafiki yangu aliomba nafasi ya kujiunga na jeshi la polisi hakuitwa kwenye interview kuna rafiki yake kamuunganishs na mwalimu wa CCP, kamwambia baada ya kuanza mafunzo atampa nafasi ila aandae laki 7 eti hii inawezekana watu wameanza mafunzo ikapatikana nafasi au...
  8. N

    JamiiForums Tanzania msaada jamani

    jamani naomba msaada napoteza hela ndani tena hata nikifunga mlango ndani sizikuti nisaidieni jaman
  9. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri wa haraka jamani

  10. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri wa haraka jamani

  11. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri wa haraka jamani

    imefikia hatua nachukia sana
  12. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri wa haraka jamani

    nasoma na chuo kimoja sasa nashindwa kumkwepa ghafla, boyfriend wangu sio muelewa kabisa na amekamata msg nyingi kutoka kwa mpenzi wangu huyo na kuhisi kuna mwanaume anapitia kwake kuwasiliana na mimi nikimshirikisha atanitoa kizazi
  13. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri wa haraka jamani

    girls ni mbaya sana jaman, mnafanya usiku na siku ukilala kwa kijembe wako au darling watu wanajua kabisa fulani kavusha hivyo lispect na mnazipa mashuka pembeni mwa kitanda kama kuna redio kunakua na mziki laini hivyo kwakua nikawwaida hata kwa wengine hawaoni kama ni kitu cha ajabu
  14. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri wa haraka jamani

    naenjoy zaidi napokua na gf wangu kuliko napokua na bf na nampenda sana bf wangu lakini kimapenzi naridhhika zaidi na gf wangu
  15. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri wa haraka jamani

    binafsi kwa sasa nachukia sana na nikijaribu kuacha yule rafiki angu wakike hataki na akiwa karibbu yangu basi nakua weak
Back
Top Bottom