Recent content by Neema kiula

  1. N

    JamiiForums Tanzania Wanaume wengi ni mabubu kitandani mjiongeze

    Mwanaume anaeongea wakati wa sex anajua nini maana ya faragha kuna raha yake wote 2 mkiongea na mwanamke akapiga kelele kidogo inaleta hamasa sana.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Profesa Assad anunua nyumba za NSSF huko Tanga

    Kwa hiyo hii nchi mpaka mtu aishutmuu serikali au bunge ndio makosa yake na yeye yaonekane ?.mlikuwa wapi acheni kupotosha watu huu mchezo uko wazi pia sasa hivi watu wengi wanajitahidi kuelewa jambo . Sent using Jamii Forums mobile app
  3. N

    JamiiForums Tanzania NDANDA VS YANGA

    Acha mawazo ya kijinga.Hayo ni matokeo ya mpira tu. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. N

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa: Nimerudi nyumbani (CCM), msiniulize nimerudi kufanya nini, nimerudi nyumbani - Machi 9, 2019

    Jamani tusiende mbali ccm kama si polisi na mahakama na tume ya uchaguzi kweny madaraka tungeshawasahau muda sana hata wao wanajua fika hebu tujaribu mara moja tuweke silaha chini tufuate democrasia ya kweli uone mziki wake.Ila hakuna marefu yasio kuwa ncha .Muda huwa ni hakimu wa kweli. Sent...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Kocha wa Taifa Stars Amunike ameidhalilisha sana Simba SC katika Uteuzi wake hivyo siishangilii tena Taifa Stars hadi akiondoka / akifukuzwa

    Wewe ni nani hata usienda uwanjani kuona taifa stars maana hakuna anae kutambua endelea na ubaguzi wako wa kijinga wa hali ya juu mpira hauendi hivyo eti mabingwa ,?viwango ndio vinaangaliwa kaka. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. N

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mtangazaji wa Clouds FM, Ephraim Kibonde afariki dunia. Azikwa makaburi ya Kinondoni,Dar es Salaam

    Kweli dunia ni mapito angejua asienge enda hata kwa Ruge .R.I.P KIBONDE. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. N

    JamiiForums Tanzania Ni Neno Gani la Kiingereza lilikupa Tabu kutamka ukiwa Form one

    Neno lililonipa shida increse and decrease Sent using Jamii Forums mobile app
  8. N

    JamiiForums Tanzania Shafii Dauda sasa nimekuelewa

    Eti mnafanyia birthday congo ?.mnashiba keki mnasahau majukumu ya uwanjani kingine kilichowaponza mlivyosikia sikia yanga kapigwa na stand mkafurahia mkasahau mko Congo.Nileteeni dawa inaitwa vumbi congo nitawapa hela. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. N

    JamiiForums Tanzania Shafii Dauda sasa nimekuelewa

    Wewe bado ni mjinga kweli unakumbuka tu eti simba 5 yanga 0 mie nakumbuka ile mechi yanga alikuwa na migogoro balaa mbaya wachezaji waliharibu ile mechi makusudi kabisa .Mie nashangaa simba kiwango walichoonyesha kwa Algeria sio cha kufungwa goli 5 .Hiyo inaitwa egener soma hiyo...... Sent...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu kwa Wana Yanga Wote

    Haijalishi nimenunua leo au jana ukweli ndio huo ili mradi tu najua kuitumia Sent using Jamii Forums mobile app
  11. N

    JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu kwa Wana Yanga Wote

    Kaa kimya hujui kitu maelezo mengi ya nini wewe ni yanga kweli au nyie ndio mnaotumwa?. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. N

    JamiiForums Tanzania Fainali Mapinduzi Cup 2019: Azam FC 2 - 1 Simba SC

    Nimenunua mchana leo Sent using Jamii Forums mobile app
  13. N

    JamiiForums Tanzania Fainali Mapinduzi Cup 2019: Azam FC 2 - 1 Simba SC

    Simba 2 .Azam 1 Sent using Jamii Forums mobile app
  14. N

    JamiiForums Tanzania Fainali Mapinduzi Cup 2019: Azam FC 2 - 1 Simba SC

    I mean marudio hii smat phone hata wewe waweza kosea . Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom