Lord Delamere in Kenya
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 2,903
- 5,989
Hadi dakika ya 60' matokeo yalikuwa Ndanda 1 - 0 Yanga.
Dakika ya 61' Jaffary Mohammed akaisawazishia Yanga,na matokeo kuwa Ndanda 1 - 1 Yanga.
Nilichojifunza:
Yanga wanakuwa obsessed sana na mechi za kimataifa za Simba,kuliko Simba wenyewe.
Kama hujanielewa ni hivi;Inapotokea Yanga wana mechi ya TPL na usiku wa siku hiyo au siku moja/mbele yake kuna mechi ya kimataifa inayoihusisha Simba,basi Yanga hufungwa mechi hiyo.
Bado hujaamini?
1.Kabla Simba haijafungwa 5 - 0 na AS Vita katika usiku wa mabalaa,Yanga alikufa 1 - 0 kwa Stand United.
2.Wakati Simba inajiandaa kumpiga AS Vita 2 - 1.Yanga alitangulia kufa 1 - 0 kwa Lipuli FC.
3.Simba ikijiandaa kucheza na TP Mazembe keshokutwa,Yanga anatangulia kufa na kisha kusawazisha mbele ya Ndanda FC.
Yanga,kwanini mnawaza sana mechi zisizowahusu na kusahau mechi zenu?