Recent content by Neek Conqueror

  1. N

    JamiiForums Tanzania Single mamaz club

    Mbona matangazo ya hicho kipindi yananaelezo ya maswali yako yote ulouliza? Sikiluza na soma promo za ichokipindi vizuri.
  2. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tuliohamishiwa Dodoma, tujadili ndoa zetu

    Wewe unasema dar to dom wakati kuna watu Wapo mtwara na Mwanza na bado ni mume na mke.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Nahitaji maombezi

  4. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeamua kubadili nyendo zangu naomba Mungu anisaidie nidumu katika mstari mnyoofu

    Mungu akusaidie uweze kuacha kweli kweli, jitahidi kuwa karibu na Mungu kuwa na ratiba ya kusoma kitabu cha dini yako na kuomba kila siku. Mungu atakusaidia utavuka pia waombee watoto wako ili liroho lisiwafate.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Rasmi kwa ridhaa yangu mwenyewe nimeamua kuacha pombe Eeeh Mwenyezi Mungu nisaidie

    Mungu akusaidie sana na utaweza usisikilize watu wanaokukatisha tamaa kua utarudia, amini kwamba umeacha na hutarudi nyuma.
  6. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote halali

    M
  7. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta Shule nzuri ya primary mji wa Katoro, Geita

    ..
  8. N

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata bidhaa za nywele asili?

    L
Back
Top Bottom