Recent content by Nebby

  1. Nebby

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Bungeni: Ijumaa, 28 Novemba 2014 (Hatma ya Sakata la Tegeta Escrow Account)

    Halima jembe la ukweli
  2. Nebby

    JamiiForums Tanzania Nasikia sehemu kuubwa ya nchi haina umeme sababu kubwa ni mjadala wa ESCROW

    Kumara nako wamekata
  3. Nebby

    JamiiForums Tanzania Clouds acheni unafiki kwenye mambo ya kitaifa

    Hata wwatangazaji wao hjawako serious na hiyo redio si ya wale wa kulekule waliogawana huo mzigo
  4. Nebby

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu na Mwigulu Nchemba,mnautendea haki mkoa wetu.

    Je wangekuwa wameharibu ungejitokeza kuwalaani au kuwasema hapa jamvini au ungenyamaza kwa Kuwa ni wa kabila lako?
  5. Nebby

    JamiiForums Tanzania Kikao cha CCM mchana huu Dodoma!

    Hata kama wamekosa lakini kiukweli huyo ni wizi wa mchana kweupee a cha waumbuane
  6. Nebby

    JamiiForums Tanzania ESCROW: Majibu ya Prof Muhongo ni aibu ya mwaka kwa PAC na wasaka tonge

    Ingekuwa sio za umma kwanini TRA wanakubali kuna kodi haijalipwa. Hata kodi?
  7. Nebby

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje kurudisha laki saba zangu zilizopelekwa Forever Living

    Je hiyo biashara haifanani na lie ya DECI?kama haifanani auze bidhaa zake atapata faida kama walivyomwelekeza! Kama inafafana aende haraka ofisini kwa arudishe bidhaa zao wsmpe chake
  8. Nebby

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Siri ya Ziara ya Lowassa Nje ya Nchi yabainika

    Mbona Lowasa Yupo bungeni? Hiyo stori feki humkamati mtu hapa
  9. Nebby

    JamiiForums Tanzania Revealing: Wanufaika wa akaunti ya Tegeta Escrow kupitia Stanbic wameshajulikana (Clue 3)

    Ingekuwa vyema ukatudadavulia na hayo majina mkuu
  10. Nebby

    JamiiForums Tanzania Revealing: Wanufaika wa akaunti ya Tegeta Escrow kupitia Stanbic wameshajulikana (Clue 3)

    Ingekuwa vyema ukatudadavulia na hayo msjina mkuu
  11. Nebby

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri bungeni Dodoma: Leo Jumanne 25 Nov, 2014

    Kwani alikuwa hajui kama kuna kesi? Pia spika huyo alikuwa na ajenda ya kulizuia bunge Hilo kutojadili hiyo hoja?
  12. Nebby

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi Mwanajeshi na Polisi kutolipa nauli?

    Wamezoea vya bure. Huduma hiyo ya usafiri sharti ilipiwe kama usafiri wa bure sio wapande mabasi yao!
  13. Nebby

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi Bandarini afariki ktk Mazingira tata, Uongozi WA juu TPA wahusishwa!

    Mkuu hapo umepotoka kwani mwandishi alikuwa sahihi kwani principal officer ni afisa Mkuu
  14. Nebby

    JamiiForums Tanzania Nimepigwa vibaya na wafuasi wa CCM - Padre Mbilinyi

    mmesahau kuwa mahali popote alipo Mwigulu lazima amani ipotee!
Back
Top Bottom