Nasikia sehemu kuubwa ya nchi haina umeme sababu kubwa ni mjadala wa ESCROW

Kasimba G

JF-Expert Member
Jan 19, 2011
3,428
2,609
Jijini Dar, maeneo ya Arusha na maeneo mengine mengi hamna Umeme kisa haswa ni mjadala ya ESCROW account!

Inatakiwa watu wasopate taarifa zimazojitosheleza juu ya suala hili la ESCROW account.
 
Kama tatizo ni bunge ni bora wakatishe kurushi LIVE ila umeme watuachie, dar joto sana jamani na hii shida ya umeme ni kero kubwa
 
Umeme umekatwa kote! prof Muhongo kweli ni muongo jana ooh mara naagizwa umeme usikatwe nchi nzima wananchi waangalie hafu alipomaliza hotuba yake wakakata. ccm ni janga la kitaifa.
 
umeme upooo tunakula raha zetu ccm wamebadili upepo sasa woote wanataka mtu awajibike
 
Ni jambo la kushangaza tanesco kutofuata maagizo ya viongozi wakubwa kuhusu kutokata umeme, maeneo ya mbagala umeme hakuna wakati wakati kuna watanzania wanafuatilia bunge kuhusu fedha zao za umma zilivyochotwa. Inauma sana
 
Back
Top Bottom