Recent content by ndyagulu

  1. ndyagulu

    JamiiForums Tanzania Nawatahadharisha wanaomsifia Dkt Tulia Ackson Rais wa IPU

    Naungana na wewe uko sahihi kabisa asijibu maswali kwa mihemuko kiasi hicho!
  2. ndyagulu

    JamiiForums Tanzania Tamthiliya ya Zahanati ya kijiji. Nimeamini Tanzania kuna vipaji vya waigizaji aisee kiukweli wamefanya kazi kubwa

    Ni hii tamthilia mtunzi alutulia Sana Iko poa Sana!
  3. ndyagulu

    JamiiForums Tanzania Nadhani tunahitaji vyuo vingi vya Ufundi stadi

    Hongera mkuu kwa wazo..hakika umeupiga mwingi! Kuna watu wengi walikosa fursa za kusoma na kufikia malengo yao..hili wazo liwafikie wahusika waone namna ya kufanya!! Sent using Jamii Forums mobile app
  4. ndyagulu

    JamiiForums Tanzania "Usijenge Familia kukiwa kumekuchwa" Vijana Zaeni na oeni mungali mna nguvu

    Mi nimeshika "Si kila jambo zuri lazma lipitie mikononi mwako mengine acha yaje yafanywe na watoto wako"!!!!
  5. ndyagulu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kijana mwenzetu anapoteza muda kwa mama mkubwa zaidi yake

    Maisha ni kuchagua labda hilo lijimama linampa vitu adimu utajuaje mkuu..!
  6. ndyagulu

    JamiiForums Tanzania Mlinzi wa shule alinilaani, nami nimekuwa mlinzi

    Wanazidi zaidi ya hiyo na hao ni rank za chini kabisa... Sent using Jamii Forums mobile app
  7. ndyagulu

    JamiiForums Tanzania Azam & DStv punguzeni kidogo vifurushi vyenu kipindi hiki Cha CORONA.

    Ni kweli hata mimi naunga hoja mkono wapunguze bei aisee tusaidiane wakati huu wa shida na raha!! Sent using Jamii Forums mobile app
  8. ndyagulu

    JamiiForums Tanzania Leo amenishangaza sana huyu binti mdogo

    Mbona fresh tu ukikataa rufaa inakuachia... Unakuwa umefaidi mtoto mzuri!! Sent using Jamii Forums mobile app
  9. ndyagulu

    JamiiForums Tanzania Sintosahau nilichokishuhudia kwa macho yangu nchini Rwanda wakati wa vita vya kikabila 1994 hadi naingia kaburini

    Imefikia pachungu... bro usichelewe tupia hicho kipande kilichobakia!! Sent using Jamii Forums mobile app
  10. ndyagulu

    JamiiForums Tanzania Umeil Kheir, Mtangaziji Radio DW amestaafu leo

    Niliupenda uzangazaji wake! Hongera mwana mama kwa kazi nzuri uliyoitumikia DW..! Sent using Jamii Forums mobile app
  11. ndyagulu

    JamiiForums Tanzania HOJA : JWTZ walipwe mshahara mnono na posho tamu jamani !

    Kwa hiyo we uliona gwanda moja tu pale ya jwtz? Police hukuwaona? Magereza waliochimba makaburi yote zaidi ya 60?fire mpaka uhamiaji wote hukuwaona? Jitahidi kutambua michango ya vyombo vyetu vyote vya ulinzi na usalama kwa mchangao wao mkubwa waloutoa morogoro...hivyo tuseme serikali iangalie...
  12. ndyagulu

    JamiiForums Tanzania Opera Heist: Uhalifu Uliokamilika

    Kwa kipindi hicho ilikuwa wizi wa akili Sana,lakin leo hata kabla hujamaliza huo ukaguzi wako umeshatiwa nguvuni walahi!!
  13. ndyagulu

    JamiiForums Tanzania Kuna nini TANESCO watangaze kupandisha gharama za kununua umeme kwa kilimanjaro pekee na siyo mikoa mingine yote nchini?

    Kwa kweli tanesco walipaswa kuweka bei moja tu ya units..kama tariff 4 iwe kwa wateja wote siyo hizo bei za kibaguzi,maana wengine tunaishi nyumba za kupanga tunachangia luku lini tutatumia units chini ya 75 ili tushushwe kwenye hiyo tariff 4?
  14. ndyagulu

    JamiiForums Tanzania TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

    RIP Ruge... Sent using Jamii Forums mobile app
  15. ndyagulu

    JamiiForums Tanzania Ahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kumlawiti mgoni wake

    Kuna watu hawafai kumlazimisha kunyonya dudu tena?.. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom